Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
IMG-20220807-WA0194.jpg

MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo, kutoka sh. Bilioni 254 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sh bilioni 954 kwa 2022/2023, italeta mabadiliko makubwa katika uchumi.
IMG-20220807-WA0195.jpg

Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kutengeneza fursa nyingi za ajira, hatua ambayo imemfanya Shaka atoe muelekeo wa kutatua changamoto ya ajira kwa vijana hususan wasomi wa vyuo vikuu ambao ametaka watambuliwe na kuwezeshwa kupitia kilimo.
IMG-20220807-WA0204.jpg

Shaka amesema hayo leo Agosti 7, 2022 alipotembelea Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro ambapo amesema kupitia maonesho hayo lipo jambo la faraja ambalo ameliona.

Ameeleza kuwa, hata baada ya uhuru wa nchi haijapata kutokea kama bajeti ya mwaka 2022/2023 ambapo Rais Samia ametenga Sh. bilioni 954 ukingalisha na bajeti ya mwaka 2021/2022 ya Sh.bilioni 254 karibia asilimia 224 ya ongezeko hilo la bajeti.

“Lengo kuonesha mkazo zaidi katika Serikali hii ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu huko na dhamira kubwa ikiwa kuwakomboa vijana pamoja na wanawake.

“Katika hilo Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi imeahidi katika kipindi cha miaka mitano tutazalisha ajira milioni nane kwa Watanzania, sasa kwenye kutafsiri maelekezo ya Ilani Serikali ya Rais Samia imeshajiwekea mwelekeo ama imeshajiwekea matatarajio yake katika ajira hizo,”alisema Shaka.

Alifafanua kuwa Serikali inatarajia hadi kufikia 2025 karibia ajira milioni tatu zitakuwa zimezalishwa kupitia sekta hii ya kilimo huku akiongeza kwamba hayo ni mageuzi makubwa na huo ni ukombozi kwa vijana na wanawake.

=== ===
 
View attachment 2317412
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo, kutoka sh. Bilioni 254 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sh bilioni 954 kwa 2022/2023, italeta mabadiliko makubwa katika uchumi.
View attachment 2317413

View attachment 2317414

FB_IMG_1659891291805.jpg
 
Tumerudi kwenye kilimo Kwanza, hivi kilimo Kwanza iliishaisha vipi?
 
Ile Trilioni 8 ya TAMISEMI ndiyo iliyopaswa kupelekwa kwenye Kilimo,apo ndiyo angalau tungeanza kuzungumzia mapinduzi ya Kilimo.Sasa hapo kwenye Bilioni 900 unakuta 70% ni matumizi na 30% za maendeleo!!!
 
Ukiigawa gawa hiyo pesa utakuta kituko. Kila la kheri!
 
Haka nako hakana akili,tangu kipindi kile kakumbwe na sakata la rushwa sina hamu nako ni kachawa haswa.Tumlaumu Magufuli kwa kuurudisha nyuma upinzani, huyu mnyoa kiduku enzi zile za akina Dr Slaa angeomba kujiuzulu hiyo nafasi mapema tu Hana ubavu yule
 
Serikali ndio inatoa pesa si Samia.
Tusilishane matango pori.
Mama anafanya kazi nzuri sana,chasa msimharibie
 
View attachment 2317412
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo, kutoka sh. Bilioni 254 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sh bilioni 954 kwa 2022/2023, italeta mabadiliko makubwa katika uchumi.
View attachment 2317413
Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kutengeneza fursa nyingi za ajira, hatua ambayo imemfanya Shaka atoe muelekeo wa kutatua changamoto ya ajira kwa vijana hususan wasomi wa vyuo vikuu ambao ametaka watambuliwe na kuwezeshwa kupitia kilimo.
View attachment 2317414
Shaka amesema hayo leo Agosti 7, 2022 alipotembelea Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro ambapo amesema kupitia maonesho hayo lipo jambo la faraja ambalo ameliona.

Ameeleza kuwa, hata baada ya uhuru wa nchi haijapata kutokea kama bajeti ya mwaka 2022/2023 ambapo Rais Samia ametenga Sh. bilioni 954 ukingalisha na bajeti ya mwaka 2021/2022 ya Sh.bilioni 254 karibia asilimia 224 ya ongezeko hilo la bajeti.

“Lengo kuonesha mkazo zaidi katika Serikali hii ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu huko na dhamira kubwa ikiwa kuwakomboa vijana pamoja na wanawake.

“Katika hilo Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi imeahidi katika kipindi cha miaka mitano tutazalisha ajira milioni nane kwa Watanzania, sasa kwenye kutafsiri maelekezo ya Ilani Serikali ya Rais Samia imeshajiwekea mwelekeo ama imeshajiwekea matatarajio yake katika ajira hizo,”alisema Shaka.

Alifafanua kuwa Serikali inatarajia hadi kufikia 2025 karibia ajira milioni tatu zitakuwa zimezalishwa kupitia sekta hii ya kilimo huku akiongeza kwamba hayo ni mageuzi makubwa na huo ni ukombozi kwa vijana na wanawake.

=== ===
Harafu mavijana yaache kuchangamkia fursa yabakie kushabikia upuuzi wa chadomo,watapiga miayo mpaka akili ziwakae sawa..
 
Back
Top Bottom