Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

Katoa wapi kwenye salary slip yake ?!!!!

Ifike wakati tuache huu ulimbukeni.....
 
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli
 
Nadhani, Shaka ndio mwanasiasa anayewanyima usingizi Upinzani.
Anawanyima vipi usingizi wakati ni yeye na viongozi wengine wa chama chake ndio pekee wenye ruhusa ya kufanya mikutano ya hadhara, wakati wa vyama vingine wamepigwa marufuku kinyume na sheria kufanya hivyo!?
 
Shaka anafanya mikutano ya ndani
 
Good Shaka,
 
Hawa kenge Hawa, kwani pesa ni ya CCM? Kwani hao "Kambi za upinzani"hawalipi Kodi,hawakstwi tozo?
Kwanza pesa hajatoa yeye,pesa ni wananchi yeye anasimamia tu(bahati mbaya kijambazi)
Kweli sisi CCM ni kenge ?

Nchi inawatu wakorofi mno hii
 
Anawanyima vipi usingizi wakati ni yeye na viongozi wengine wa chama chake ndio pekee wenye ruhusa ya kufanya mikutano ya hadhara, wakati wa vyama vingine wamepigwa marufuku kinyume na sheria kufanya hivyo!?
Shaka anachofanya ni kukutana na wanachama wenzake wala sio wananchi, So huo hata kama utakuwa na watu wengi kiasi utakuwa still ni mkutano wa ndani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…