Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli
Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali zikiwemo mikopo.
View attachment 2327870
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafuatilia kwa karibu utekelezaji wa mikakati ya kuwakwamua vijana dhidi ya umasikini, huku kikiwataka watumishi wa umma kutafsiri kwa vitendo juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuwatengenezea vijana fursa za kujikwamua kiuchumi na kijamii.
View attachment 2327874
Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, alipokuwa akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Ifuta, Kata ya Ukondamoyo wilayani Urambo alipokagua ujenzi wa kituo cha Afya Ifuta.
View attachment 2327878
Rais ameonyesha njia, njia ya kwanza ni kushusha fedha nyingi katika Halmashauri zetu za Wilaya kwa ajili ya kujenga au kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo. Tuliahidi ajira milioni nane katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vijana na wanawake mpaka ifikapo mwaka 2025.
"Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni kutumia fedha za ndani kutengeneza fursa za ajira ili wananchi wajikwamue kiuchumi. Ni jukumu la watendaji wa serikali kutafsi kwa vitendo ili lengo hilo litimie na wananchi hususan vijana, wanawake na walemavu wakwamuliwe kiuchumi.
View attachment 2327876
Shaka amesema CCM itaendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mkakati wa serikali ili ahadi ya Chama kupitia Ilani ya Uchaguzi itekelezwe na kufikia malengo.
Aidha, amesema katika kuwakwamua vijana CCM haitatazama Itikadi yoyote bali inataka kuona fursa zinapatikana na wote wananufaika.
=== ===
Huyu mjomba ni jembe kwelikweliChadema hata kama mtawapatia pesa Ya mkopo lazima wawalize tu,Wale sio Watua
#Narudia ,Hakuna Kama Rais Samia
Anawanyima vipi usingizi wakati ni yeye na viongozi wengine wa chama chake ndio pekee wenye ruhusa ya kufanya mikutano ya hadhara, wakati wa vyama vingine wamepigwa marufuku kinyume na sheria kufanya hivyo!?Nadhani, Shaka ndio mwanasiasa anayewanyima usingizi Upinzani.
Shaka anafanya mikutano ya ndaniAnawanyima vipi usingizi wakati ni yeye na viongozi wengine wa chama chake ndio pekee wenye ruhusa ya kufanya mikutano ya hadhara, wakati wa vyama vingine wamepigwa marufuku kinyume na sheria kufanya hivyo!?
Good Shaka,
Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali zikiwemo mikopo.
View attachment 2327870
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafuatilia kwa karibu utekelezaji wa mikakati ya kuwakwamua vijana dhidi ya umasikini, huku kikiwataka watumishi wa umma kutafsiri kwa vitendo juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuwatengenezea vijana fursa za kujikwamua kiuchumi na kijamii.
View attachment 2327874
Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, alipokuwa akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Ifuta, Kata ya Ukondamoyo wilayani Urambo alipokagua ujenzi wa kituo cha Afya Ifuta.
View attachment 2327878
Rais ameonyesha njia, njia ya kwanza ni kushusha fedha nyingi katika Halmashauri zetu za Wilaya kwa ajili ya kujenga au kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo. Tuliahidi ajira milioni nane katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vijana na wanawake mpaka ifikapo mwaka 2025.
"Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni kutumia fedha za ndani kutengeneza fursa za ajira ili wananchi wajikwamue kiuchumi. Ni jukumu la watendaji wa serikali kutafsi kwa vitendo ili lengo hilo litimie na wananchi hususan vijana, wanawake na walemavu wakwamuliwe kiuchumi.
View attachment 2327876
Shaka amesema CCM itaendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mkakati wa serikali ili ahadi ya Chama kupitia Ilani ya Uchaguzi itekelezwe na kufikia malengo.
Aidha, amesema katika kuwakwamua vijana CCM haitatazama Itikadi yoyote bali inataka kuona fursa zinapatikana na wote wananufaika.
=== ===
Kweli sisi CCM ni kenge ?Hawa kenge Hawa, kwani pesa ni ya CCM? Kwani hao "Kambi za upinzani"hawalipi Kodi,hawakstwi tozo?
Kwanza pesa hajatoa yeye,pesa ni wananchi yeye anasimamia tu(bahati mbaya kijambazi)
😁😁No, sote ni watanzaniaTena wasilogwe kabisa aise,Kazi iendelee
Shaka anachofanya ni kukutana na wanachama wenzake wala sio wananchi, So huo hata kama utakuwa na watu wengi kiasi utakuwa still ni mkutano wa ndani,Anawanyima vipi usingizi wakati ni yeye na viongozi wengine wa chama chake ndio pekee wenye ruhusa ya kufanya mikutano ya hadhara, wakati wa vyama vingine wamepigwa marufuku kinyume na sheria kufanya hivyo!?
Rais ni taasisi ndgKatoa wapi kwenye salary slip yake ?!!!!
Ifike wakati tuache huu ulimbukeni.....