Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hawa walikuwa wanatoa rushwa ili watengenezewe vyeti feki na alama feki!! Walipwe tu hamna namnaIvi ulishawahi kufikilia ni watu wangapi waliostahili kupata izo nafasi walinyimwa haki zao wakiwa na vyeti Halali kabisa....Asa kma mtu aligushi cheti Cha uwalimu alikua anafundisha nin watoto shuleni...na huyu nae alipwe??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ajeNenda kavifakiki wewe,
Mtu amekuwa mbunge, Waziri, makamu wa Rais na leo Rais,
Eti vyeti fake, You can't be stupid YEHODAYA
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Hao wote wanalifharimu sana Taifa.Vipi Phd feki za wakubwa na vyeti vya akina Bashite?! Ungesoma tu mstari wangu wa mwisho ulitosha kila kitu.
Hapana kila jambo lina wakati wake . Miaka ya nyuma wizi wa Mithani ulikua mkubwa sana. Na wengi ndio zao la wezi waliopo kwenye ofisi za umma Kwa Sasa.Miaka yote mlipaji hakujua kama hao ni feki?
Mlipwaji hana makosa.
Mlipaji ndiye aliyetengeneza mazingira ya ufeki na ndiye anapaswa kufunguliwa mashitaka
BADO HAIWE SABABU YA KUHALALISHA VYETI FEKI.Hao wenye vyeti halisi mbona still tija ni sifuri
Mbona wapo nje ya nchi na pia private sector na wanafanya Kazi vizuri tu.BADO HAIWE SABABU YA KUHALALISHA VYETI FEKI.
TUMBUA TUMBUA NDIYO ILIYOREUDISHA HESHIMA MAKAZINI.
WENYE VYETI FEKI WALIKUA NI WASUMBUFU SANA NA WALIKUA NA DHARAU SEE SANA. KILA KITU KWAO KILIKUA NI DILI TU KAMA WALIVYOINGIA KWA DILI DILI.
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Sekta binafsi ni tofauti na ajira za umma wa watanzaniaMbona wapo nje ya nchi na pia private sector na wanafanya Kazi vizuri tu.
Ukuona madereva vyeti walivyokuwa wanasababisha Sana ajali baada ya madereva halisi kuondolewa
Kweli kabisa vyeti feki viko vingi vyuoni kwa kupewa maksi feki na wakiajiriwa wanaonekana ndio wenye vyeti og kumbe fake to the maximūm.Vyeti feki !! Daah. Sawa. chuo mwalimu Akitoa maksi za wanafunzi chuo kinabadirisha alama na kuwapa za juu kuonyesha wamepata alama nzuri.Hawa nao ni sawa na vyeti feki .we have long journey to go!!
Hili halina ubishi ila malipo yao wapewe,Sekta binafsi ni tofauti na ajira za umma wa watanzania
Huwezi kudanganya umma wakati wapo wengi waaminifu na wenye sifa ya kuajiririwa Serikalini.