Mungu amsaidie sana mheshimiwa rais.SSH.Hili nimelielewa mno, kenna Rais Samia ni Mama na Rais, tuendelee kumwombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amsaidie sana mheshimiwa rais.SSH.Hili nimelielewa mno, kenna Rais Samia ni Mama na Rais, tuendelee kumwombea
Kama ni Rais Watanzania tumempata,Mungu amsaidie sana mheshimiwa rais.SSH.
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Acha roho mbaya,Yani mtu ana vyeti fake analipwa wakati kuna vijana kibao hawana kazi na wanavyeti halali, sisi watu weusi kwakweli tuna laana flani hapa duniani si bure. 60 yrs of independence bado tupo hapa na siasa uchwara.
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Unajua kwenye hili suala kuna watu wa aina tofauti. Mfano kuna wale ambao hawakufika Form IV ila wakatafuta vyeti kuonyesha walifika kidato hicho. Hao wengi walikuwa ni wahudumu na madereva na pia police ingawa kwenye military hawakuondolewa.Muajiri wako akikuajiri kwa kuwa ulimdanganya, haikupi haki pale anapogundua umemdanganya akuache tu kazini kwa kuwa hakugundua utapeli wako wakati anakuajiri.
Usiseme hivyo. Kuna kitabu aliwahi kuandika mtu mmoja anaitwa Kainerugaba. Alitoa siri za elimu ya viongozi wengi wa Tanzania kitabu kikapigwa marufuku na yeye nadhani alihamia nchi za nje. Katika watu waliotajwa hakuna hata mmoja alishtaki.Nenda kavifakiki wewe,
Mtu amekuwa mbunge, Waziri, makamu wa Rais na leo Rais,
Eti vyeti fake, You can't be stupid YEHODAYA
Kuna baadhi ya kada wala hakukuwa na ulazima wa kuwaondoa kazini. Mfano madereva na wahudumu.Huruma isibague uhalifu. Hivi imefanyika Tathmini faida na hasara ya kutumia wafanyakazi hao huku wakiwa na vyeti fake kabla ya kufikia uamuzi huu?
Nadhani Kuna haja ya baadhi ya watu waelezwe kuacha kutumia nia njema na huruma ya Mama vibaya
Sana tu yaani,Anaupiga mwingi sana yaani
Kweli huyu alikua mtoto mdogo akina lisu walipiga kelele zotezile hakusikia ....Leo anazungumzia matapishi ya ccm
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Kwani walikua hawalipwi mshara Kwa Kazi walizokuwa wanazifanya kitapeli.Hili halina ubishi ila malipo yao wapewe,
hakuna wakumtoa Mbowe pale,Sawa wamekusikia.

Kumbe kugushi vyeti ni Hali sio kosa,kumbe walikosea kuwafukuza,muwalipe na fidia Kwa mda waliokaa bila kazi ndo tutajua mnaupendo na huruma
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
View attachment 2209052
View attachment 2209053
View attachment 2209054
View attachment 2209055
View attachment 2209056
View attachment 2209057
View attachment 2209058
View attachment 2209059
View attachment 2209060
View attachment 2209062
View attachment 2209063
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,
Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,
Jabali,
Miaka 60 unaona miiiingi, kuna nchi zina miaka 200 ya uhuru usijilinganishe nazoYani mtu ana vyeti fake analipwa wakati kuna vijana kibao hawana kazi na wanavyeti halali, sisi watu weusi kwakweli tuna laana flani hapa duniani si bure. 60 yrs of independence bado tupo hapa na siasa uchwara.
Hata ivyo vyeti vingi vilivyokutwa ni feki si vile vya ujuzi, bali vya elimu ya secondary f4 na f6.Cheti ni official certification kuwa hicho kitu unakijua
Huwezi Omba kazi ya udereva leseni huna halafu unataka mwajiri akuamini tu kwa kukuangalia tu usoninkuwa wewe dereva
Halafu wewe Muongo ulaya na China vyeti huangaliwa sana mfano huwezi Tajiri daktar au mainjinia au rubani bila cheti au kuajiri Profesa bila cheti
Mnadanganyana vijiwe vya kagawa
Kuna kazi uchwara zisizohitaji vyeti hizo ndizo hupewa yeyote