World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
Itarudi baada ya auchaguzi wa 2025 kuwa na subraShaka
ACHA hizi ndugu yangu
Inna lah maaswabirina
"Rasimu ya WARIOBA irudi mezani Sasa iwe KATIBA Mpya"!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itarudi baada ya auchaguzi wa 2025 kuwa na subraShaka
ACHA hizi ndugu yangu
Inna lah maaswabirina
"Rasimu ya WARIOBA irudi mezani Sasa iwe KATIBA Mpya"!
Urais ni uwezo na Si Zawadi mtu azawadiwe!!!2025 fomu ya Uchaguzi iprintiwe moja tu, Kila Rais wa CCM alihudumu miaka 10, tunataka amani na utulivu kwenye Taifa,
Sio mfano mzuri Chief lamda ungetolea ule wa Sri lanka.Ukraine na urusi
Sasa Wewe Mambo makubwa anayoyafanya Rais Samia huyaoni?Urais ni uwezo na Si Zawadi mtu azawadiwe!!!
Kwamba wakiruhusiwa wengine kuchukua fomu watavuruga amani kivp?
What if mgombea wa CCM akionekana hatoshi dhidi ya upinzani?
Nisikuchoshe maana 2025 hapatakuwa na uchaguzi pia mwaka huo ni mbali Sana Bado.
BAO la mkono ni Hadi mkono uwepo na ujue kufanya KAZI ya mguu Kwa kificho.Hapo kwa Ile style yetu ya bao la mkono itabidi itumike.
Kwanza hadi saizi sijamsikia mwanaccm yeyete kutaka Urais..View attachment 2322973
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka.
Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongea Rais Samia huko Unguja hii leo, Shaka amesema Rais Samia pamoja na Rais Dkt. Hussein Mwinyi ni viongozi shupavu walioonesha ari kubwa kuwatumikia watanzania.
Shaka amesisitiza kutokana na kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inatoa uhalali kwao kuendelea kuiongoza nchi yetu panapo kudra za Mwenyezi Mungu mpaka 2030 ikiwa pia ni utii wa katiba ya CCM, kanuni na utamaduni tuliojiwekea.
Aidha, Shaka amesema wale wenye ndoto ya Urais 2025 kwa bara na visiwani wasahau kwakuwa CCM inamila, katiba,desturi ,Utaratibu na miongozo mbalimbali zinazotawala muda wa Rais kudhaminiwa na Chama cha Mapinduzi.
===
Unafanya utafiti kuhusu kukubalika kwake Kwa wananchi?Sasa Wewe Mambo makubwa anayoyafanya Rais Samia huyaoni?
Acheni wivu furahieni mafanikio ya nchi yenu,
Subiri ifike 2024 kuanzia July joto lipande vzr.Kwanza hadi saizi sijamsikia mwanaccm yeyete kutaka Urais..
Pili sidhani kama Wana hiyo sababu maana Kwa jinsia mama anaupiga mwingi hawana Sababu Wala hoja ya kwa nini asigombee tena na wao ni mashahidi wa anachofanya Rais Samia.
Sawa ngoja tusubirie.Subiri ifike 2024 kuanzia July joto lipande vzr.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuona MBALI na kuona MBELE.
Tusubiri.
Kwakuwa maamuzi ni ya mkutano mkuu kumpitisha mgombea, basi kiongozi shaka asubili muda na wakati utakapotimia na afahamu hakuna mkutano mkuu uliowahi kumpitisha Rais Samia kugombea nafasi hiyo bali ameupata kwa kudra za Mungu kama alivyowahi kunena mwenyewe.Ngumu kwako, watz wote tunalamba asali we itakuwa ni mkenya
Siyo mshika "remote" Tena?Kwani Mzee wa Msoga anasemaje akiripoti kutoka Kenya.🪬
Haijaandikwa popote, Kwa Katiba ya CCM Wala ya nchi.Kwakuwa maamuzi ni ya mkutano mkuu kumpitisha,basili kiongozi shaka asubili muda na wakati utakapotimia na afahamu hakuna mkutano mkuu uliowahi kumpitisha Rais Samia kugombea nafasi hiyo bali ameupata kwa kudra za Mungu kama alivyowahi kunena mwenyewe.binafsi naona kuna haja ya nafasi kuruhusu wanachama kugombea kama ilivyokuwa kwa marais waliopita na wala hakujawahi kuwa na utamaduni,mila,desturi,taratibu,kanuni,sheria au katiba yenyewe ndani ya Ccm inayoeleza juu ya taratibu za kugombea nafasi hiyo nyeti ndani ya nchi endapo tu Rais aliyeko madarakani atarithi nafasi hiyo kutoka nafasi aliyepo vinginevyo Shaka aeleze ni wapi pameandikwa.
Naamini muda ukiwadia,wapo wanachama watajitokeza kumpokea Rais Samia kijiti vinginevyo itolewe fomu kama nyakati za nyuma jambo ambalo si demokrasia.