Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

Hivi hii nchiiii tulikosea wapi??Yaani yanayoendelea Kenya CCM hawayaoni bado wanawaza kutuchagulia viongozi.
 
Ndani Ya Chama Uhuru Unatakiwa
Watu Waombe Form, Siyo Eti Maneno Ya Ally Kessy Tutamlazimisha
Mambo ya kijinga sana. Eti wa-print Fomu moja tu. Sasa kama Mgombea Ni Mmoja ndani ya Chama unatoa Fomu ya nini? Hivi maana ya Fomu Ni nini? Au hatuelewi maana ya Fomu? Hivi Hawa watu walisomea Ujinga?
 
Me nafikiri wawe wanasema panapo majaaliwa, Mungu akipenda, mapenzi yake mola, hiki/huyu atakuwa hivi au vile. Sote tu wanadamu hatuijui kesho yetu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] yaani hawa ccm wanadhani mtu akishakuwa mgombea kupitia chama chao basi ndo raisi. Waache waendelee kujisahau hivyohivyo siku wananchi wakiamua watafurushwa kama mbwa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hao wananchi sindio wanachama wa CCM?

HADI SASA CCM INAWANACHAMA ZAIDI YA 15M
 
weka akiba ya maneno kijana,kuna watu walishakufulu na kutaka kumchagua kiongozi mmoja awe rais wa milele,ila Mungu akaingilia kati akaamua ugomvi
 
tabia ya shaka niyakukemewa watanzania huwezi kuwaamulia hata siku moja labda ni raisi wa ccm hadi 2030 nachojuwa watanzania wataamua nani awe raisi wao
 
Ni kweli Rais Samia na Mwinyi ni watulivu.Lakini maoni aliyotoa katibu ni ya chama kimoja na ni ya kizamani.Angesema hivi "Natamani kuona watanzania wakiwachagua tena......"2025
 
Huo ni uminywaji wa Democrasia.
Kama wameonesha uwezo waache washindane nawenzao ambo hawajaonesha chochote.
 
2025 hatutaki mtu zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan,

Kazi anazofanya huyu Mama hapa Upinzani kuweka mtu ni kujipotezea gharama bure kabisa,
Nisahihi kabisa, 2025 hata Wapinzani waje tuungane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…