Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Achana nao walozi hao.Baya uombealo wengine huweza KUKURUDIA MWENYEWE.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao walozi hao.Baya uombealo wengine huweza KUKURUDIA MWENYEWE.....
Yaah mkuu 👍Achana nao walozi hao.
Mchele na makorokocho kama yote 😂😂
Haikupungua, imeongezeka kwa 12/-Bei ya mafuta mbwembwe zote zile za kutoa tozo 8 lakini imepungua sh 50 tu mama anahujumiwa!!
ILIKUA IONGEZEKE SHS 145 kwa lita kama tozo hazingeondolewa. SAFARI YETU YA KUFIKIRI BADO REFU MNOBei ya mafuta mbwembwe zote zile za kutoa tozo 8 lakini imepungua sh 50 tu mama anahujumiwa!!
Falsafa ya Magufuli ilikuwa nini?Hivi ni lini araonekana Raisi mwenye maono na Falsafa? Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli wote hao ulikuwa ukiwasikiliza unaona wamebeba Falsafa na maono Fulani. Hebu tusaidie maono na Falsafa yake
Yupi ambaye hakuwahi kuamini hivyo?Anaamini katika kuwafanya wananchi kuwa na Amani.
Kujenga usawa wa kijinsia
Kugawana national cake kwa usawa
Kudumisha uhisiano na mataifa yenye nguvu kiuchumi
Unalipwa au unaifanya hii kazi kwa mapenzi yako?Tutayatega masikio yetu kumsikiliza mwenyekiti wa CCM na Rais wetu KIPENZI[emoji120]
ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU MH.RAIS SSH
ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MH.SSH [emoji123]
#KaziIendelee
#TunaImaniNaMh.RaisSSH
Mkuu wewe kuanzia Kikwete unampinga, kaja yule dikteta pia umempinga na tulimpinga wote, Hata huyu mama nae pamoja na uungwana wake Bado mkuu wewe haumkubari!?? Ebu tuambie ni Nani angefaa hawe Rais,
Mkuu unajipa mastress ya bure aisee
Asee ukoje wewe?.
Yaani unataka kusema ana falsafa alafu hazionekani?.
Kuna Muunganiko mkubwa katika hizi Taasisi...Mfano unatenganishaje CCM na Serikali au dola...Yaani Kwanza hata nyie mnaosema ooh Katiba Katiba kwanza ni ngumu sana inatakiwa Kwanza Mlaumiwe nyie mliopewa Katiba na Kikwete mkaleta ujinga ooh Ukawa Ukawa sasa kiko wapi???.Wana CCM bhanaa!!!
Shaka ni CCM.
Mh. Samia Suluhu H. ni Mwenyekiti wa CCM - Taifa, ambaye pia ni Rais wa JMT.
Kwa Uenezi wake Shaka,automatically atakuwa anamzungumzia "mwenyekiti wa CCM - Taifa.
Automatically hilo jambo lake litakuwa la CCM.
Kumuaddress SSH kama "rais" na huku yeye si msemaji wa rais, na kuhusisha jambo la chama na taasisi ya urais ni kuonyesha jinsi gani watu wa Lumumba na White House hawajui "job descriptions" zao wala mipaka ya nafasi zao.
Tatizo kubwa sana lililopo kwa Watanzania wengi.
huyo bonge mwenye sufuria na shati la kijani ni nani?
Ukatili, dharau, kiburi na roho mbaya.Falsafa ya Magufuli ilikuwa nini?
Komenti zingine zinachekesha sana yani Samia anafanya vizuri kuwazidi Mwalimu Nyerere na Mkapa duh hahahaaa inachekesha sana.Kwa sasa Samia anafanya vizuri kuwazidi hao uliowataja. Halafu umekosea mno kumuweka na Magufuli kwenye hiyo orodha. Yule hakuwa na falsafa yoyote. Alikuwa msanii tu ambaye ametumia ujinga na ukosefu wa maadili wa watanzania kujijenga.
Raisi gani mwenye falsafa anatumia fedha za umma kama mali ya familia yake?
Raisi gani mwenye falsafa anatumia pesa za umma kununua wapinzani?
Akhsante sana kwa kututhibitishia kuwa nyinyi ni vilaza wa kutupwa.Kuna Muunganiko mkubwa katika hizi Taasisi...Mfano unatenganishaje CCM na Serikali au dola...Yaani Kwanza hata nyie mnaosema ooh Katiba Katiba kwanza ni ngumu sana inatakiwa Kwanza Mlaumiwe nyie mliopewa Katiba na Kikwete mkaleta ujinga ooh Ukawa Ukawa sasa kiko wapi???.
Si bora mngeanza na ile Ya Mzee Kikwete baadae mdai tena.....sasa Mmekosa vyote...Na Hata huyu Mama ameshaingia Mle mle nae anawaangalia mnvyolialia...
Kingine nyie hamna agenda Kama Mbowe yuko jela hamna kitu tena....Wala hamna la maana mnafanya ....
Ingekua mnafanya utafiti mnaita media mnatoa issues zinazogusa wananchi mfano mafuta...kwann yana matozo kibao lakini Mnakaa kutukana mitandaoni...
Issue ya machinga ni bomu kubwa hatuwezi kuziba mitaro na barabara ili watu wengine watandike biashara kisingizio eti wanyonge hamna hiyo...
Nyie kila kitu mnapinga .
Nadhani una matatizo ya akili au chuki zinakusumbua.Bei ya mafuta mbwembwe zote zile za kutoa tozo 8 lakini imepungua sh 50 tu mama anahujumiwa!!
Kwani uongo? Weka takwimu za ulinganisho kama unabisha.Komenti zingine zinachekesha sana yani Samia anafanya vizuri kuwazidi Mwalimu Nyerere na Mkapa duh hahahaaa inachekesha sana.
Kwako maono ni nini inaonekana hata huelewi unachoongea,kwa mfano Mwendazake alikuwa na maono gani?Falsafa gani? Kazi iendelee ni Falsafa au Haki za Wanawake kuwa sawa na wanaume? Hebu CCM Msaidieni ajue namna ya kupambanua hayo mambo. Bila Maono Kiongozi wa Nchi unakuwa huna tofauti na Diwani.