Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

Mwamba alijua namna ya kuishi nae vizuri, ukishakuwa upande wa nakupenda pia tayari umeshashinda mechi hata kabla haijaanza.
Shakira bado anamkubali mwamba hata akilikataa hilo ila maneno yake yanaonesha.
Manzi bado anamkubali sana Jamaaa....sema wazungu nae hawawezagi kuhimili mambo ya kuchapiwa huku kwetu Enaboishu tunasema kuchapiwa ni Siri ya ndani tunaumia kimya kimya
 
Naweza kumuelewa da Shakira,
Mfano, unakutana na mwanaume shababi, anajielewa(wise, emotional/intelligence) anakuchooota akili ukishachoteka anaendelea na maisha yake kama hakuna kilichojiri kati yenu...(wanawake wengi wanaijua hii)
Kwa kweli
Bora Atoe wimbo tu bwana ampe mipasho tena kama vipi amshirikishe khadija kopa
 
"Anateswa na zimwi la penzi kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba",

Mwisho wa kunukuu

Cc Smart911
 
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.

Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui mwanasoka huyu alimpa nini Shakira licha ya umaarufu wake.

Nachomkubali Pique ni mkimya, nampongeza kwa hilo ni tabia ya kiume haswa, tangu watengane 2022 Shakira ndio kinara wa kuyaongelea mahusiano yao. Shakira anadai penzi lake na Gerlad Pique limemfanya kumrudisha nyuma na kumuumiza vibaya kimapenzi pia hatamlipizia kisasi kwa kumuongelea kwenye nyimbo zake kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo zake zilizopita.

G. Pique yeye hupenda kuongelea zaidi kuhusu watoto wao akihojiwa kuhusu mahusiano yake na Shakira.

Wanawake mkipenda sana ndio mnakuwa kama Shakira?

View attachment 2945429
View attachment 2945273
KWELI HAKUNA MTAALAMU WA MAPENZI..
 
Naweza kumuelewa da Shakira,
Mfano, unakutana na mwanaume shababi, anajielewa(wise, emotional/intelligence) anakuchooota akili ukishachoteka anaendelea na maisha yake kama hakuna kilichojiri kati yenu...(wanawake wengi wanaijua hii)
Kwa kweli
Bora Atoe wimbo tu bwana ampe mipasho tena kama vipi amshirikishe khadija kopa
😂😂😂😂😂Aiseeee
 
😂 amuimbie xixi sio milima tutakutanaa
 
Back
Top Bottom