Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Hahaha na wewe ulivyokuwa punguani anaamini😂
 
According to Gallant jamaa walikuwa wana roam kwenye anga la Iran watakavyo
😂😂😂sasa ulitaka Gallant aseme kitu gani ?wakati waziri wa ulinzi wa Israel Ndugu Ben Gvir amelaumu kuwa walichofanya HAKINA MAANA yeyote yeye bado anasubiri visima vya mafuta na sehemu ya kurutubisha nyuklia VIPIGWE
 
Nice and best wishes
 
Duh! Kobaz karibuni. Walisema hakuna madhara. Mficha maradhi

Huu mgogoro umekuwa na madhara kwa wote Israel na Iran...

Ni ngumu tu kwa serikali zote mbili kukiri moja kwa moja kwa sababu wanazozijua wao (kutompa adui kichwa)
 
Hivi imekosekana hata video ya madhara ya hili shambulizi lililofanywa na the mighty alliance of USA and Israel? Hata picha?
 
Humu jukwaani kuna watu wana vichwa maji sijawahi kuona. Taarifa nyingi humu hazina ukweli wowote, ni full propaganda.. taarifa zenyewe zinatoka kwenye vyanzo vya uchochoroni.
Israel iliposhambuliwa tumeona kwa macho ya nyama makombora yakidondoka na milipuko kufuatia kisha moto.
Matokeo tukaambiwa kulikuwa hamna madhara yoyote. Kombora moja lilimdondokea mpalestina na kumuua!!!!
Israel nayo ikadhambulia nalengo huko Iran tena tunaambiwa kwa kutumi ndege vita 100. Na makombora ya masafa marefu yasio na idadi. Matokeo yake wamekufa askari wa4 na uharibifu mdogo. Can u imagine?
Tuacheni ushabiki maandazi...
 
Hivi wewe kwa akili zako unaweza kumaliza uzalishaji wa makombora Irani? Yaan makombora yazalishwe hapo Tehran peke yake? Tena pakiwa wazi kama kituo cha mwendo kasi? Walipiga kiwanda cha ATGM hizo zinatumika kufumulia vifaru na wamepiga kuna just kijisehemu na sio kusema kiwanda likiwaka moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…