Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwahiyo kama wewe unapigana kwa kun'gata watu meno unataka Kila mtu aige mbinu Yako?Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Usidanganywe sasa sema hilo eneo linaitwaje , ile sehemu ambao ni eneo la kibiashara watu wanaendelea na ishu zao .Utakataa sana dogo!
Fungua hiyo link
ππ
"Israel strikes multiple targets across Iran in retaliatory strikes - The Jerusalem Post" 'Days of Repentance': Israel strikes multiple targets across Iran in retaliatory strikes
Ndio, Ilo sio mpaka walithibitishe wao.Mkuu hii habari kwamba imetumika laser ni kweli?
Kwamba hayo makombora ni invisible mpaka camera za simu haziyaoni? Kuna Mamia ya mamilioni ya camera Iran hata moja imeshindwa kudaka kombora?Kwahiyo kama wewe unapigana kwa kun'gata watu meno unataka Kila mtu aige mbinu Yako?
Videos zipo wapi mbona maneno yamekuwa mengi tofauti na wenzao videos za mashambulizi yao tuliziona
Ndio, Ilo sio mpaka walithibitishe wao.
Angalia Speed ya makombora ya Iron Dome kwenye kudungua makombora ya Iran, angalia Speed za Makonda ya THAAD, , S 300, S 400 , Arrow n.k...
Utagundua kua Makombora yooote hayo yanaporushwa yanaonekana yalee yaleeeee yaleeee mpaka yanapofikia Shabaa na Kulipuka , na Huwa tunaona Impact kubwa ya Mlipuko.
Makombora ya Waisrael Leo , ni kama vile yalikua yanalipuliwa na KITU KISICHOONEKANA KWA MACHO, YAAN NI KAMA MZIMU, NA KWA SPEED YA MWANGA , ...HAIKUA SPEED YA KAWAIDA ILE, na ukiangalia yalikua yanalipuliwa Kwa wakati Mmoja utadhan MSHINDI YA BISI YAPOKAANGWA KUA POPCORNS .
Hiko ni kithibitishi tosha kua, SILAHA ilotumika, ilikua Inatumia Speed ya MWANGA, Na Kwa Sasa hamna makombora yenye speed ya Mwanga , ni Hypersonic missile tu ndizo ambazo zingeweza kudungua makombora hayo Kwa speed Ile.
LASER NDIO IMETUMIKA.
URL unfurl="true" media="youtube:RytqrIuw2mk"]Media zako wakati wanaonesha hapa BBC , mbona sioni? BBc wamerusha live kabisa hakuna kitu kama hicho .
F35 nazo zingepelekwa Ukraine zingepigwa tu...F16 zimedondoshwa huko Ukraina F35 zimedondoshwa wapi?!
Videos zipo wapi mbona maneno yamekuwa mengi tofauti na wenzao videos za mashambulizi yao tuliziona
Sawa mchambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka masjid mufilisi jan'gombe.Hata iron done.
Hatari hii.Ndio, Ilo sio mpaka walithibitishe wao.
Angalia Speed ya makombora ya Iron Dome kwenye kudungua makombora ya Iran, angalia Speed za Makonda ya THAAD, , S 300, S 400 , Arrow n.k...
Utagundua kua Makombora yooote hayo yanaporushwa yanaonekana yalee yaleeeee yaleeee mpaka yanapofikia Shabaa na Kulipuka , na Huwa tunaona Impact kubwa ya Mlipuko.
Makombora ya Waisrael Leo , ni kama vile yalikua yanalipuliwa na KITU KISICHOONEKANA KWA MACHO, YAAN NI KAMA MZIMU, NA KWA SPEED YA MWANGA , ...HAIKUA SPEED YA KAWAIDA ILE, na ukiangalia yalikua yanalipuliwa Kwa wakati Mmoja utadhan MSHINDI YA BISI YAPOKAANGWA KUA POPCORNS .
Hiko ni kithibitishi tosha kua, SILAHA ilotumika, ilikua Inatumia Speed ya MWANGA, Na Kwa Sasa hamna makombora yenye speed ya Mwanga , ni Hypersonic missile tu ndizo ambazo zingeweza kudungua makombora hayo Kwa speed Ile.
LASER NDIO IMETUMIKA.
We mgalatia kutoka Kibondo unasemaje?Sawa mchambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka masjid mufilisi jan'gombe.
Kuchamba kwingi mwisho kuibuka na kipisi cha faeces.
Soma hapo kama lugha haipandi sema pia usiogope..Kwamba hayo makombora ni invisible mpaka camera za simu haziyaoni? Kuna Mamia ya mamilioni ya camera Iran hata moja imeshindwa kudaka kombora?
Mbona Ayatolah kashindwa kuzidondosha?F35 nazo zingepelekwa Ukraine zingepigwa tu...
Mdogo wangu , video nimeangalia yote ni kweli amerusha makombora ...Nataka unioneshe sehemu yalipotua na hyo ndege iliyokuwa juu ya anga la Iran kwa sababu hata media zenu huko Twitter zinatoa picha za uongo .URL unfurl="true" media="youtube:RytqrIuw2mk"]
View: https://youtu.be/RytqrIuw2mk?si=LL4x0Z_OCUsEnLB7[/URL]
Israel pia walikataza ila video kibao tuliziona, kuna wayahudi, Zoroastrian, Sunni na makundi kibao Iran ambayo hayana Affiliation na Ayatollah, yamekosa hata ki clip kimoja? Satelite za marekani, na satelite nyengine nazo zimekosa hata ka picha kamoja?Soma hapo kama lugha haipandi sema pia usiogope..
ww ni Ashki majunun israel bado inamalizana na hayo makundi ya iran ya hezbolah.Iran ina haha inataka kubadilisha muelekeo wa vita kwa propaganda nyingi kwan hezbolah inaipoteza lebanon na jeshi na serikali inachukua uongozi na baada ya hapo huth wa yemeni.Iran zamu yake bado inaweza kua 2025Mdogo wangu , video nimeangalia yote ni kweli amerusha makombora ...Nataka unioneshe sehemu yalipotua na hyo ndege iliyokuwa juu ya anga la Iran kwa sababu hata media zenu huko Twitter zinatoa picha za uongo .
Hkuna sehemu nimektaa kwamba hajarusha ila ni zero target .
Hii link hakuna hyo sehemu iliyoathirika kabisa naona kiza tupu π π π
Twitter inafanya censorship ya video na picha , sasa ona zote ni uongo na moja wapo wameweka mpaka kweny page ya jerusalem times
View attachment 3135909View attachment 3135912
ww ni Ashki majununππMdogo wangu , video nimeangalia yote ni kweli amerusha makombora ...Nataka unioneshe sehemu yalipotua na hyo ndege iliyokuwa juu ya anga la Iran kwa sababu hata media zenu huko Twitter zinatoa picha za uongo .
Hkuna sehemu nimektaa kwamba hajarusha ila ni zero target .
Hii link hakuna hyo sehemu iliyoathirika kabisa naona kiza tupu π π π
Twitter inafanya censorship ya video na picha , sasa ona zote ni uongo na moja wapo wameweka mpaka kweny page ya jerusalem times
View attachment 3135909View attachment 3135912
Taarifa rasmi ya jeshi la Iran imesema kuwa mifumo yao yaanga imefanya kazi vizuri japo kumetokea madhara madogo. Kwa haraka wamesema askari wao 2 wamefariki na wengine kujeruhiwa. Madhara mengine bado wanayafanyia uchunguzi.Kilichoshangaza zaidi ni hizo ndege 100 zimeua Askari wawili tuh.
Sasa zilienda kushambulia au kufanya nn ?