Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Hakuna ndege ya Israel iliyoingia Iran wametumia anga la Iraq na Syria
 
Wamepiga nini?
 
 
Wajinga kama wewe ni wengi sana sasa ilo ndiyo shambulio gani ...upumbavu kama ccm tu
 
Unajiaibisha sana kwa kuleta habari za uongo.
 
TUpeni updates
 
Naona umruka mpaka mafuta , nan kakataa wakati unaleta picha uongo?
Kwa akili zangu hata wazazi wako hawawezi kunidanganya , hawana uwezo huo ...Wewe mpakwa mafuta wa bwana huna hoja nimepangua zote , kuleta picha za uongo .

Danganya wajinga wenzio huko kwa wazazi wako.! 😀 😀 😀
 
Dunia nzima hakuna anayeweza Precision zaidi ya IDF, angalia pale Lebanon na Gaza anachagua ghorofa na anapiga hilo pekee.
Hawezi shindwa haribu mifumo ya Iran
 
Hili andishi lako linaonesha ni Kwa jinsi gani Afrika imezalisha mabumunda baada ya wapigania uhuru
 
Israel amepiga akiwa anga la iran ama alishambulia akiwa iraq na syria..

Hebu wayahudi wa bonyokwa na waajemi wa tandale mtueleze.
amepiga akiwa anga la iran, na ndege zote zimerudi tel aviv salama hata moja haijadunguliwa. air defence system zile alipewa na Russia zimefumuliwa zote, kiwanda cha kutengeneza drones kimesambaratishwa, na Iran amekiri kweli ameshambuliwa. ila wairan wa gongolamboto wanasema hakuna kilichotokea.
 
Hahahaha


View: https://youtu.be/7xhLQGBp22c?si=3HeZXsu66mzULhNC
 
Kwa akili hizo piga ua lazima utakuwa ni muislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…