Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Tatizo la CHADEMA.mtu akiuliza swali wanalopenda wao hukuona kichwa, lakin wasilopenda eti unajidhalilisha hahaha this is CHADEMA bwana
Siyo swala la CDM huyo kijana (dereva) alikuepo muda wote tokea kupigwa kwa Lissu, hospital na hata kesho yake . Je police (serikali) ilichukuwa hatua zipi .

Kwa nini CCTV zingolewe kesho yake, kwanini ulinzi wa sehemu husika uliondolewa ?!. Acha ushabiki wa kipuuzi .
Jamaa yako kama anakubalika hana haja kutumia nguvu na hila za hovyo .
 
you guys acheni propaganda za kijinga pasco
maelezo yatoke marangapi? polisi washakataa kazi yao na ku clear their kinyesi then who are you to ask? wakati nymbani kwake kulikua salama zaidi


watu waoga ndio hun'gata na kupuliza ni either moto au baridi!! we uko ap?
 
Kwa ufupi Pascal naomba nikuulize, jee unadhani dereva sehemu gani salama kwake kukimbilia alipoona anafuatilliwa zaidi ya Nyumbani ambako getini kuna kikosi cha ulinzi? Nyumba ya Tulia kuna walinzi? yaani ni eneo salama!
Au yeye ndio alipanga mipango ya walinzi kuondolewa wote?
Swali la kuwa kwa nini risasi 38 haikumata hata moja sio swali la kutoka kwa legendary Pascal Mayalla hata kidogo. Maana swali kama hilo ni sawa na aulizaye kwa nini risasi 16 ziingie mwilini mwa Lissu na asife wakati juzi tuu jambazi aliwatoroka Polisi akapigwa risasi moja kwenye kisigino na akafa?
 

..risasi inaweza kupiga upande mmoja ikatokea upande wa pili.

..inaweza kuingia mguu wa kushoto, ikapita kwenye nyama, ikitokea upande wa pili na kuvunja mfupa wa mguu wa kulia.

..pia hizo risasi zilivyokuwa zinampata lazima ali-move, aligeuka-geuka, kutokana na kishindo cha risasi na maumivu.

..kwa maoni yangu hoja ya kwanini ameumia mguu wa kulia na siyo kushoto siyo nzito sana.

..Anaweza kuwa amepigwa risasi nyingi kushoto, na chache kulia, lakini MADHARA makubwa yakawa upande wa kulia. Hiyo inatokana na ukweli kwamba inategemea risasi ilipiga eneo gani.

..Kwa mfano, risasi inaweza kupiga nyama au msuli. Hapo utatibu jeraha. Lakini ikipiga mfupa maana yake utatibu mfupa na jeraha.

NB.

..Risasi zilitokea upande aliokuwa amekaa Tundu Lissu.
 
Sasa Kama dereva anahusika au hahusiki ,

Serikali mbona mpka Sasa haijachunguza hilo tukio ??

Kwann hawataki wachunguzi wa kimataifa wanaogopa nn??

Na yule aliyesema kwamba Askari km mko vitani ikaonekana kuna msaliti ni kumuua tu , kwann yeye usimdhaniye kwamba anahusika ??

Kwann watu wakivaa t-shirt zilizoandikwa pray for Lissu wanakamatwa ??

Mengine nitauliza baadae
 

Wewe Mzee najaribu Kujifunza kutosoma mabandiko yako nashindwa yaani nikiona Bandiko lolote by Pascal Mayalla lazima nitie kiherere kusoma lakini sasa hichi kichwa changu kisichokua tofauti na nazi au Kibuyu ndio tatizo yaani nikianza kusoma naelewa sana ninapokuja kumaliza sielewi kitu. yaaani inakua kama ile sentensi ya kwanza ingetakiwa iwe jukwaa la siasa na ya mwisho iwe jukwa la mapishi
 
Unaweza kuwa na hoja Mkuu, ila kwa upande mwingine tukio lilipangwa na Mhe. Lissu alishasomwa mienendo yake.

Kumbuka alishatoa taarifa siku nyingi kuwa kuna gari linafuatilia mienendo yake (wanamsoma na kutengeneza Plan).

Siku ya tukio mida ya mchana, baada ya bunge kuahirishwa Lissu anaelekea nyumbani kupata chakula cha mchana (washamjua tabia yake ya kula home na washaseti mazingira kule area d).

Ki kawaida ukifuatiliwa, sehemu utakayokimbilia kiusalama aghalabu ni nyumbani kwako kwani mazingira umeshayazoea.

Kwa mtiririko huo uhusika wa huyo dereva ni ngumu kumeza.

Ukimya wa wa vyombo vya shilingi ni majibu tosha
 
Watu wakikosa hoja wanatapa tapa Sana ,

Binafsi mm ni Lumumba lakin kwa Hili sitaki ushabiki wa kipuuzi ,

Eti kwann mguu was kushoto na siyo kulia ?? Hahaha , vichaa ni wengi

Kama alivyogundua wanataka kupiga risasi , si inawezekana aligeuka na kulalia tumbo???

Acheni hoja za kipuuzi , huu ni uhai wa mtu bana
 
Je nikweli Dereva anaweza kuwarubuni walinzi wote wasiwepo kwenye lindo Hao walio panga hilo tukio la kinyama Hawakutumia akili na Maanisha Hata Mtu anaye tumia akili za kuvukia barabara anaweza kujua nini kilifanyika
 
Mkuu unapata tabu bure tuu, hawa watu wanaleta ujinga wao kwenye mambo ya msingi.
Lissu amepigwa risasi akiwa na akili timamu na wala sio usingizini, hivyo yeye ndio anaelewa kila kitu kilicho tokea hata na jitihada za kijana wake dereva.
Atakuwa "kichaa" kama hawa tulio nao amgeuzie kibao kijana wake ambaye fadhaa ya kifo waliipitia pamoja na hata walipoangaliana usoni walisoma fikra za mwenzie za kifo kilicho mbele yao.
Lissu ni MTU mwema na mwenye akili sana, nadhani baada ya kuzinduka naye kwa utaalamu wake na kipaji alicho nacho ametafuta njia yeyote kijana kama ni kuhojiwa ahojiwe huko huko vinginevyo atahojiwa huku yeye akiwa amepona na yupo pia amerudi.
Moyo wake haupendi aje kupata mahangaiko ya Polisi wetu kwa vile njama hizo zinawahusu. Bravo TAL kwa kuliona hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…