Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Ungejibu kwanza kwa nini risasi zitokee upande Wa kulia lakini DREVA asiumie??

Kwa nini DREVA anaona maadui wanafuatilia then anampeleka boss home na siyo siyo sehemu ya kuomba msaada??

Walinzi Wa area D ni kina nani hata wasipewe hongo na kuikubari??

Walinzi Wa area D wanaweza kupokea rushwa na kuondoa kamera!!

Kwanini DREVA Wa Lissu hakubari kuhojiwa na Leo mnasema huko masomoni sijui anasomea kozi gani?ugaidi?udreva zaidi??? Hahhahahaha
 
Kuondolewa kwa cctv,kuondolewa walinzi ambao haijawahi kutokea,danadana za gharama za matibabu,kauli za jamaa kuwa hataki upinzani,kubambikiziwa criminal cases n.k
Bado hujui nani alitaka kumuua lissu? Unasingizia dereva,kwahiyo uchunguzi hauwezi kufanyika pasi na dereva?
What if na dereva angekufa?
Usijitoe ufahamu jamaa
 
Thibitisha mawazo yako kwa kutuletea maelezo ya dereva
 
Hahahhahahahhaha anasomea ugaidi.Sijui kwann hawa jamaa hawatak kabisa kusikia hbr za dereva.Leo wanaambiwa yuko masomoni hata bila kudoubt wanashangilia,akili za hawa jamaa cjui nani aliwaroga.
 
Kaka yangu Mayalla najaribu kukuelewa lakini inafika mahaliii nashindwa nikisoma iliii bandiko la Leo na hiliiii
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums mbona vinatofautiana ebu enlight me please niweze kukuelewa
 
Sasa nimebahatika kumfahamu vema Ndg. Pascal Mayalla, " if it how you passive criminal act you will never be fair". Ninaimanisha kama hivi ndivyo unavyoliona hili tukio la jinai/mauaji hautakaa utende haki tena. Na kwako wewe neno "Mungu", halina maana ninayoifahamu.
 
Waanze kuwahoji wale walinzi wa Getini ni kwa nini hawakujihami? na ni kwa nini waliacha Geti wazi? Camera za cctv zipo wapi? ni nani alizing’oa?
 
Kuhusu bunduki ya AK umepuyanga sana hujui chochote kuhusu bunduki kaa kimya
Kwenye bunduki pia Mungu husimamia yule anayelengwa kuuawa, kama mlengani anafanya Tukio la Uonevu kwa mtu muhimu mara zingine malaika husimama kidete kumkinga kwa bidii kubwa
 
Thibitisha mawazo yako kwa kutuletea maelezo ya dereva
Dereva ndiyo alibeba zile CCTV camera na kuondoka nazo? Kwani Dereva ndiyo aliwazuia walinzi wasijuhami dhidi ya shambulio? na Dereva ndiyo alifungua geti na kuliacha wazi pasipo kulifunga? Dereva ndiyo mmiliki wa ile Nissan nyeupe ambayo iliwahi kuonekana kwenye Tukio la Nape kuonyeshwa Bastora na yule Heri mlinzi wa makonda mvaa kapero mda wote? Ni mjinga na zuzu Pekee anaweza kuhisi Dereva anahusika na Tukio la Lisu, wananchi wana Uelewa mpana wanajua movie yote ilivyochezwa.
 
Kumkazania Dereva ahojiwe wakati walinzi hawajakamatwa wala aliyeng’oa camera za cctv hajakamatwa ni ujinga uliotukuka.
 
Baadhi ya maswali yako yanazua maswali juu yake.
Mfn: Swali lako namba 17: - Unasema bunduki aina ya AK 47 zinatoka Burudi, una uhakika gani kwamba bunduki hiyo ilitoka Burundi? Nchi kadhaa ukanda huu kuna wanajeshi wanao pigana vita na serikali zao ikiwemo Burundi, Rwanda, Kongo, Uganda, Sudani Kusini, nk. iliyotumika ilitoka Burudi?

Swali la 18: Kwamba ....yaani dereva apewe millioni 500 aziache? Una ushahidi kwamba alipewa fedha na kiasi hicho?
 
[UOTE="jingalao, post: 28278302, member: 56995"]Aliyesema kuwa askari hawakuwepo ni nani na alikuwa wapi akiangalia kuwa askari hawapo?
Jingalao kwe maswali tumia logic ili usionekane unauliza tu bila kujua swali unalouliza litazaa kitu gani. Sababu kama swali lako linataka kuonyesha kuwa askari walikuwepo na anayesema hawakuwepo ni muongo basi hapo utafeli maana utaulizwa kuwa askari wapo halafu wameangalia tu yanayoendelea bila hata kurespond? Hata hakukutokea majibizano ya risasi? Kama ni mahakamani umeuliza hilo swali mtu anakujibu tu inawezekana walikuwepo, ilionekana hawapo sababu hakukuwa na majibizano. Wewe unaamini walikuwepo?[/QUOTE]
Unadhani askari wanababaishwa na milio ya risasi nje ya lindo lao?Hivi lissu hana mlinzi hapo kwake?
 
Unadhani askari wanababaishwa na milio ya risasi nje ya lindo lao?Hivi lissu hana mlinzi hapo kwake?[/QUOTE]
Ooh. Okey, nimekuelewa. Upo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…