Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Waanze kuwahoji wale walinzi wa Getini ni kwa nini hawakujihami? na ni kwa nini waliacha Geti wazi? Camera za cctv zipo wapi? ni nani alizing’oa?
Waanze na anaye panga zamu za ulinzi kwanini walinzi waliondolwea maeneo yote swali fikirishi Je Dereva ana cheo gani hadi kuwaondoa walinzi kwenye lindo?
 
Mara Mbowe alitaka kumuua mara dereva wake! Kuna haja ya kuleta wachunguzi toka nje ili tujue ukweli unaojaribu kufichwa na waliofanya unyama ule.
 
Brother paschal mayalla,, siku hizi umebadilika sana tangu ulipoitwa na jiwe,, umeahidiwa nini mkuu,? Ni mawazo yangu tuu lakini.
 
Maswali fikirishi akikujibu usisahau kuniambia
 
Waheshimiwa wanabodi,
Niliwahi kuuliza humuhumu kuhusu mengi hayo uliyoandika lakini kwa vile wengi wetu tunapenda ku-brand kila anayepinga hoja kuhusu hili anaonekana ni mpumbavu au mwana ccm.
1.Uongozi wa Chadema hawajawahi kuripoti kwenye kituo chochote kile cha polisi kuhusu
kufuatwa na gari wasilolijua[ Dodoma ni mji mdogo tu njia za kuingia na kutoka na chache
hivyo ingekuwa rahisi sana kulipata hilo gari kama wangeripoti.
2. Mara baada ya tukio ambapo mheshimiwa Lissu alipelekwa hospitali ya Mkoa ili utaratibu ufanye kupelekwa
Muhimbili na baadaye kupelekwa nje kwa matibabu, Uongozi wa Chadema ulisema wazi wazi kuwa hawakuwa na
imani na serikali hivyo wasingempeleka Muhimbili bali wangemsafirisha wenyewe kwenda nje.
3. Hawakutoa ushirikiano wa aina yoyote ile na police na mbaya zaidi, Shahidi muhimu
ambaye ndiye alikuwa dereva wa gari hilo walimkimbizia nairobi pamoja na mgonjwa
4. Mimi sijawahi kuwa mwanajeshi ila nina fahamu kuwa kwa range waliokuwepo kina mheshimiwa, haiwezekani kwa mwanajeshi kumkosa kwa idadi ya risasi zilizotumika.
5. Hilo suala la dereva kukoswa na risasi hata moja bila ya maelezo ni ngumu kuamini.
6. Hivi inaingia akilini eti unafuatwa na watu usiowajua halafu unakimbilia nyumbani????
7. Madereva wengi wa viongozi hufundishwa defensive driving. Imekuaje kwa huyu dereva?
Kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu na hakuna kiongozi yeyote aliyoclarify haya na kilichokuwepo ni kwamba serikali inahusika.
Hivi nimekuwa nikijiuliza hivi Mh. TL alikuwa tishio kwa serikali?
Jee uchaguzi ulikuwa unakaribia?
Hivi Mh. Lowassa na Mrema[kwa wakati wake] hawakuwa tishio? Mbona wanadunda mpaka leo?
Mimi ninaamini kuwa majibu yote haya yatajulikana siku moja ila nina uhakika kuna watu ambao sasa wanapiga makelele watainamisha vichwa vyao chini.
 

Ukitupia Picha ya Gari na matobo yake pengine matongoto yangu yatapa mwanga.
 
Huyu nae saivi habari mbili zinatoka kichwani, moja tumboni yaani amekuwa wa hivihivi
 
Hii mada pasikali kapewa na rutashobokelwa aiweke kiuandishi wa habari ailete hapa, ndio maana ana counter react kila comment inayowekwa hapa.
 
paschal Mayalla chama chetu kimaingiliwa nimeamua kuhama huyu raisi amesema atapiga mashangazi wa viongozi wetu na kwamba yeye ni chizi atamlinda Makonda kama Katiba sasa nimeina nihame na nimehamia Chadema na Cuf ya maalim waungane.haraka.

Tunawajua wale wote mashushushu ukiwamo wewe Paschal mayala ila nakuomba nyanyua kutambaa cheupe kabisa.
 
Nape nnauye huu ndio wakati wa kuirudisha CCM Tulioachichiwa na mwalimu hadi Jaakaya usuogope tuko bega kwa bega tunahamia CHADCUF ALLIANCE
Ati mkuu wa mkoa anakatukiwa viunio hadharani,ni kuludhararaulisha jeshi la Pilisi lililogeuzwa mgambo wa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…