Hapa jukwaani kila mtu ana uwezo wa kujiandika ana uzoefu wa fani flani au alikuwa flani, ukija kwenye uhalisia unakuta kinyume kabisa!Afande mzoefu bwana! Sie wengine hatuna fani hizo!
Maswali yako mengi hapo juu yanaonesha jinsi ulivyo na mahaba ya serikali hii ya ccm,Waheshimiwa wanabodi,
Niliwahi kuuliza humuhumu kuhusu mengi hayo uliyoandika lakini kwa vile wengi wetu tunapenda ku-brand kila anayepinga hoja kuhusu hili anaonekana ni mpumbavu au mwana ccm.
1.Uongozi wa Chadema hawajawahi kuripoti kwenye kituo chochote kile cha polisi kuhusu
kufuatwa na gari wasilolijua[ Dodoma ni mji mdogo tu njia za kuingia na kutoka na chache
hivyo ingekuwa rahisi sana kulipata hilo gari kama wangeripoti.
2. Mara baada ya tukio ambapo mheshimiwa Lissu alipelekwa hospitali ya Mkoa ili utaratibu ufanye kupelekwa
Muhimbili na baadaye kupelekwa nje kwa matibabu, Uongozi wa Chadema ulisema wazi wazi kuwa hawakuwa na
imani na serikali hivyo wasingempeleka Muhimbili bali wangemsafirisha wenyewe kwenda nje.
3. Hawakutoa ushirikiano wa aina yoyote ile na police na mbaya zaidi, Shahidi muhimu
ambaye ndiye alikuwa dereva wa gari hilo walimkimbizia nairobi pamoja na mgonjwa
4. Mimi sijawahi kuwa mwanajeshi ila nina fahamu kuwa kwa range waliokuwepo kina mheshimiwa, haiwezekani kwa mwanajeshi kumkosa kwa idadi ya risasi zilizotumika.
5. Hilo suala la dereva kukoswa na risasi hata moja bila ya maelezo ni ngumu kuamini.
6. Hivi inaingia akilini eti unafuatwa na watu usiowajua halafu unakimbilia nyumbani????
7. Madereva wengi wa viongozi hufundishwa defensive driving. Imekuaje kwa huyu dereva?
Kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu na hakuna kiongozi yeyote aliyoclarify haya na kilichokuwepo ni kwamba serikali inahusika.
Hivi nimekuwa nikijiuliza hivi Mh. TL alikuwa tishio kwa serikali?
Jee uchaguzi ulikuwa unakaribia?
Hivi Mh. Lowassa na Mrema[kwa wakati wake] hawakuwa tishio? Mbona wanadunda mpaka leo?
Mimi ninaamini kuwa majibu yote haya yatajulikana siku moja ila nina uhakika kuna watu ambao sasa wanapiga makelele watainamisha vichwa vyao chini.
Hoja yako haina mashiko mkuu.Waheshimiwa wanabodi,

Kweli, kwa kutumia ushahidi wa camera hili swala lingekua lepesi lakini hoja ya camera inakwepwa na kila mtu.Ila Mkuu hii posti uliteleza! Unaacha kuuliza swali la msingi la CCTV kuzimwa, walinzi wa serikali mchana kweupe kutokuwepo unahoji dereva?
Camera bongo, swala ni Lissu kusoma alama za nyakati kabla angejilinda.Kweli, kwa kutumia ushahidi wa camera hili swala lingekua lepesi lakini hoja ya camera inakwepwa na kila mtu.
Ndio bongo, kwani Mo alipatakana kwa camera za Msumbiji?Camera bongo, swala ni Lissu kusoma alama za nyakati kabla angejilinda.
Yaliyotokea yametokea hatuhukumu nani kafanya coincidence nyingi inawezekana pia wenzake kwenye chama chake wamehusika na kuiangushia mzigo serikali.
Matokeo huyu bwana anauguza majeraha mpk leo.
Familia na waliomchagua ndio looser
Taratibu za kuripo jambo lolote polisi unazifahamu au ni ushabiki tuu??Hoja yako haina mashiko mkuu.
Unasemaje kuwa hawakutoa ushirikiano kwa Polisi wakati mara zote wameambiwa sehemu ambamo wangempata dereva?
Unasema walikua wanakimbizwa na watu wakakimbilia nyumbani.Hii sio kweli walifuatwa, na ukumbuke wanapoishi kila mtu anagari linalofanania gari lililokua linawafuata hivyo ni ngumu kuhisi kuwa mnafuatwa.
Defensive mechanism ya driver ni pale alipoona gari lililowafuata linapack karibu yao, na ndipo dereva alivyomshauri Lissu asishuke.
Walinzi walikua wapi?Camera?Haya ndio maswali ya msingi hapa.
Tuache ushabiki na tutumie logic ya kawaida tu.Hoja yako haina mashiko mkuu.
Unasemaje kuwa hawakutoa ushirikiano kwa Polisi wakati mara zote wameambiwa sehemu ambamo wangempata dereva?
Unasema walikua wanakimbizwa na watu wakakimbilia nyumbani.Hii sio kweli walifuatwa, na ukumbuke wanapoishi kila mtu anagari linalofanania gari lililokua linawafuata hivyo ni ngumu kuhisi kuwa mnafuatwa.
Defensive mechanism ya driver ni pale alipoona gari lililowafuata linapack karibu yao, na ndipo dereva alivyomshauri Lissu asishuke.
Walinzi walikua wapi?Camera?Haya ndio maswali ya msingi hapa.
Ushabiki gani, unataka kuniamnisha hii issue haijareportiwa polisi?T
Taratibu za kuripo jambo lolote polisi unazifahamu au ni ushabiki tuu??
jinga kabisa,lissu alilia kufatiliwa mambosasa akasema hafatilii udaku wa mtandaoni kama hawajareport polisi baadaye kichaa musiba akasema kina mbowe ni hatari kwa usalama wa taifa jamaa akasema HATA VICHAA TUNAWASIKILIZA,ben saa 8 alillalamika akatoa hadi namba ya simu iliyomtishia maisha.member wa hapa anaitwa TUMAINI EL yupo hapa jamvini na hakuna kilichofanyikaSuala la
Tuache ushabiki na tutumie logic ya kawaida tu.
1. Jee taratibu za kuripoti jambo lolote lile polisi ni lipi?
2. Jee lilifuatwa?
3 Mheshimiwa alikuwa na simu ya mkononi, jee alipiga simu polisi wakati wakifuatwa na gari lisilojulikana?
4. Dereva alimshauri mh. asishuke, mbona yeye alishuka?
5. Kwa nini dereva alijiingiza kwenye mtego wa kusimama huku nyuma yake kuna gari hilo?
Ukweli ni kwamba bila ya shaka kuna maswali mengi ambayo bila ya kuwa na majibu sahihi inakuwa vigumu kutupa lawama.
Ninavyofahamu mimi tukio lolote lile la kijinai au linaweza kuhatarisha amani/uhai nk. Kwanza linapaswa kuripotiwa polisi ambapo hupewa kumb na ufuatiliaji huanza kutegemea na aina ya tukio. Kosa kubwa lililofanyika ni kutoiamini polisi kwa kuripoti halafu polisi hao hao ambao hawaaminiwa kulaumiwa kwa kutoshughulikia tukia.
Unaweza ukawa sahihi, Hoja hupingwa kwa hoja kaka. Walau naomba kusoma tafakuri yako ya kina katika kufikia hitimisho lako. Asante.Hii umefeli sana mkuu .
Ninaona tatizo kubwa ni mawazo mgando ambayo wengi wetu tunayo bila kufahamu.jinga kabisa,lissu alilia kufatiliwa mambosasa akasema hafatilii udaku wa mtandaoni kama hawajareport polisi baadaye kichaa musiba akasema kina mbowe ni hatari kwa usalama wa taifa jamaa akasema HATA VICHAA TUNAWASIKILIZA,ben saa 8 alillalamika akatoa hadi namba ya simu iliyomtishia maisha.member kaiitwa pia TUMAINIEL yupo hapa jamvini na hakuna kilichofanyika
Alipatikana au alijitokeza😂😂😂Ndio bongo, kwani Mo alipatakana kwa camera za Msumbiji?
Hebu uliza kama kulikuwa na RBUshabiki gani, unataka kuniamnisha hii issue haijareportiwa polisi?
Suala ni jee aliripoti polisi rasmi na kupewa RB? Kulalamika na kuripoti tukio ni vitu tofauti.jinga kabisa,lissu alilia kufatiliwa mambosasa akasema hafatilii udaku wa mtandaoni kama hawajareport polisi baadaye kichaa musiba akasema kina mbowe ni hatari kwa usalama wa taifa jamaa akasema HATA VICHAA TUNAWASIKILIZA,ben saa 8 alillalamika akatoa hadi namba ya simu iliyomtishia maisha.member wa hapa anaitwa TUMAINI EL yupo hapa jamvini na hakuna kilichofanyika
Mjinga akieleweshwa anakuwa mwerevu lakini mpumbavu hata umueleweshe namna gani hawezi kuwa mwerevu.jinga kabisa,lissu alilia kufatiliwa mambosasa akasema hafatilii udaku wa mtandaoni kama hawajareport polisi baadaye kichaa musiba akasema kina mbowe ni hatari kwa usalama wa taifa jamaa akasema HATA VICHAA TUNAWASIKILIZA,ben saa 8 alillalamika akatoa hadi namba ya simu iliyomtishia maisha.member wa hapa anaitwa TUMAINI EL yupo hapa jamvini na hakuna kilichofanyika