Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Yaani mtu atake kukuua halafu umlinde hii haipo hata kwa mnyama asiye na akili. Tundu hajafa watu wanatengeneza hisia kama hizo, je angekufa maharamia si ndo wangezusha theory za ajabu. Kweli kuna watu ni mashetani.
Mkuu , inakera Sana , yaani hapa Nina hsira za kufa mtu
 
Umeniangusha kabisa, that’s not you Pascal I used to know. So yeye ndiye alitoa camera za cctv? Hivi kweli hawa kijani wanavyopenda sifa wangeacha hili bila uchunguzi ilihali hawahusiki? Shame on you, labda useme kuwa anahusika na alitumwa na kijani mkuu (zero brain)
 
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.

Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.

Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
  1. Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
  2. The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
  3. Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
  4. Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
  5. Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
  6. Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
  7. Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
  8. Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
  9. Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
  10. Maswali yataendelea
Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.

Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.

Pole.
P.
Rejea
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums

Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania - JamiiForums

P.
tungekuwa zile nchi za watu wanaojitoa muhanga ww ulikuw wa kukamtwa na kuchinjwa 2
 
Katika siku paskal umeandika Uharo basi ndo leo maananinaonesha hujaelewa alichoandika Lisu maana ungesoma kwa makin usikuja na bandiko hili.Kumbe kweli kumwelewa lisu kwa haraka ni kipaji ambacho na wewe mwandishi nguli huna
 
Mkuu Lissu alilaza kiti halafu akalalia tumbo so automatically unaelewa upande wa kulia ulipigwaje risasi.

Mnaacha kuuliza camera na walinzi wa pale home kwake walikua wapi mnakuja kuuliza mambo yasiyo na logic
Acheni porojo nyie,hivi unajua kuvamiwa wewe?Yani wavamizi walitoa hadi mda wa lisu kulaza kiti na dereva kushusha ndipo wakaanza kumimina risasi ovyo?Alijuaje kama wamekuja kumshambulia na sio kumteka?Hili tukio ukilijengea image unakuta unapata movie ya kibongo ambayo muuaji anaonja sumu ka imekolea.
 
Hapo ndipo utakapojua kuwa logic hailipi.
Ingekuwa hivo angepigwa risasi nyingi sana upande wa kulia ambao ndio ungelikuwa umewaelea washambulizi (waliokuwa kushoto mwa gari).
Pamoja na hivo haijibu swali la kwa nini mwili uliingiliwa na risasi shambulizi toka pande mbili tofauti. Zile bullet entry wounds za upande aliokuwepo dereva (na sio washambulizi) wazielezeeje?

Na pili swala la walinzi na kamera linaonyesha tu jinsi mtandao wa washambulizi ulivyo mpana na wenye nguvu. Tutaufuchuaje bila kujua story ya dereva..shahidi muhimu tena ambaye risasi shambulizi zimetokea upande aliokuwepo pia?
Bavicha hawataki kabisa kusikia hoja za dereva.
 
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.

Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.

Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
  1. Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
  2. The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
  3. Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
  4. Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
  5. Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
  6. Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
  7. Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
  8. Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
  9. Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
  10. Maswali yataendelea
Huko nyuma niliisha wahi kuzungumza haya kuhusu dereva wa Lissu.

Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.

Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.

Pole.
P.
Rejea
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums

Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania - JamiiForums

P.
Paskali Ukweli Sikujui Vizuri naonaga unaandika humu na kudai umeisoma Report Vizur ya lissu ... Wew umekimbilia kuelekeza Akili zako Kwa Dereva !! Mbona kuna Vitu hapo Amaevielezea Mh.Lissu Kama Kuondolewa kwa Walinzi wote Area D , na CCTV camera Zote !! Mbona umekimbilia kuulizia Dereva tu ?? Does it Make Sense ?? ..... TUSILETE UTANI KWENYE ROHO ZAWATU......PASKALI UMETUMWA FULL STOP!! AU UNATAFUTA UKUU WA WILAYA??
 
Acheni porojo nyie,hivi unajua kuvamiwa wewe?Yani wavamizi walitoa hadi mda wa lisu kulaza kiti na dereva kushusha ndipo wakaanza kumimina risasi ovyo?Alijuaje kama wamekuja kumshambulia na sio kumteka?Hili tukio ukilijengea image unakuta unapata movie ya kibongo ambayo muuaji anaonja sumu ka imekolea.
We sasa kushusha kiti kinanachukua dakika ngapi?Hapa kama huna gari huezi kuelewa.Inaonesha unadhani kushusha kiti ni sawa na kushusha sofa ghorofani
 
Mtu mwenye akili timamu na ambaye hana chembe hata kidogo ya kichaa ++ angeanza hivi;Siku hiyo walinzi walienda wapi?Je,wamechukuliwa hatua gani?Je, aliposema kuwa anafuatiliwa kwa siku za nyuma kabla ya tukio,taasisi husika ilichukuwa hatua gani?Je,ni kwanini taasisi husika ilisema kuwa haifanyi kazi kwa taarifa za mtandaoni,bali ataje kuwa alienda kuripoti kituo gani?Je,ni kwanini Lisu na wengineo wamewahi kukutwa na makosa kwa kupitia taarifa za mtandaoni?Ni kwanini dereva hajakamatwa wakati kuna sheria inayoruhusu mtu kuhojiwa na hata kukamatwa akiwa nje ya nchi yake?Acha niishie hapa kwakunukuu maneno ya aliye wahi kuwa rais wa Afrika kusini ajulikanaye kama P. Botta alisema"Mwafrika hata akisoma hawezi Acha upumbavu wake".
Pumba tupu umeongea.Kama askari wanalikua na dhana duni,je hakuna hoja kuwa nao waliwekwa chini ya ulinzi?
 
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.

Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.

Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
  1. Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
  2. The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
  3. Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
  4. Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
  5. Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
  6. Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
  7. Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
  8. Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
  9. Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
  10. Maswali yataendelea
Huko nyuma niliisha wahi kuzungumza haya kuhusu dereva wa Lissu.

Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.

Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.

Pole.
P.
Rejea
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums

Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania - JamiiForums

P.
Mkuu kumbe na wewe una roho kutu hivi?

Kwa mwenenendo huu, ni wazi kama asingepona, basi mngesema pia hakupigwa risasi.

Kwanini haushangai muujiza wa risasi 16 kuingia kwenye mwili wake lakini bado aka survive? Wewe badala yake unashangazwa kwamba dereva hakupatwa na risasi. Unadhani amekuwa dereva wake toka akiwa na miaka 19 kwasababu ya ulegelege?

Wekeni ubinadamu kidogo bhana! Sasa pengine ana kipaji sana ndo maana hata wabelgiji wameamuwa kumsomesha.
 
Back
Top Bottom