Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Ulitaka niseme sikujui ujitaje na wewe ni mtu wa usalama na upo ndani ya interpol. Mkubwa mzima ubongo wa mendeMAANA YAKE WEWE NAE NI KICHAA...KAMA RAIS WAKO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka niseme sikujui ujitaje na wewe ni mtu wa usalama na upo ndani ya interpol. Mkubwa mzima ubongo wa mendeMAANA YAKE WEWE NAE NI KICHAA...KAMA RAIS WAKO.
JE, MENDE HUTOMBWA KWA STYLE YA MENDE AU YA MBUZI KAGOMA KWENDA?Ulitaka niseme sikujui ujitaje na wewe ni mtu wa usalama na upo ndani ya interpol. Mkubwa mzima ubongo wa mende
Kwani misuli wewe Una mfano wa namna serikali inavyotoa uhai? Unaongea kama mtu ambaye ana ushahidi flani flani wa namna serikali inavyotoa uhai kimya kimya bila kelele au bila kuacha alama. Ni tukio gani wewe unalifahamu ambalo serikali ilifanya bila kuacha alama ili tuone kuwa point yako inaweza kuwa sawa? Acha kuchafua serikali bana. Halafu ukumbuke si kila tukio linalofanywa na Chombo kinachomilikiwa na serikali basi ni maagizo kutoka serikalini. Ndani ya hiyo hiyo serikali kuna maadui wa serikali watakaopenda kiongozi achafuke kwa manufaa yao ya mbeleni. Watu wanataka vyeo, fedha n.k hivyo ikitokea baadhi ya watu ndani ya Chombo cha serikali wakahusishwa na uhalifu pia usishangae au kutetea sana. Bunduki zenye uwezo ule ni mali ya serikali. Sidhani kama Kuna watu binafsi wanaruhusiwa kumiliki hizi. Ukiona mtu binafsi anamiliki na anazifyatua hovyo hovyo kama lile tukio basi kuna namna kazipata serikalini au zimeingizwa nchini kinyemela bila vyombo vya ulinzi na usalama kufahamuEti serikali iamue kumuondoa lisu ianze kumfuata fuata kuanzia Dar hadi Dodoma.hahahahah, hawa watu wanafikiri serikali ni kikundi cha wanywa kahawa.Yani serikali impe mtu AK 47 na marisasi kibao kumuua lisu tu?Kuna njia nyingi sana za kufanya tukio bila kuacha alama.Fuatilia vifo vya akina chacha,Komba,Filikunjombe nk.Hivi inasemekana na kazi ya mikono ya watu lkn kupata ukweli ni ngum sana.
Muuaji huyu alikua anajifunza kuua kwa kutumia mwili wa lisu hahahahah risasi 38.Yani hata ktk movie sijawahi ona wingi wa risasi ka huu.Hili tukio liingizwe Guinness World Records.
Mkuu sioni mkielezea kwa hoja zenye mashiko mkielezea kwanini dereva asiwe suspected zaid ya maelezo mengi ya kutafuta sympathy. Lieleze jukwaa kwanini dereva asitiliwe shaka?Kwanini dereva asiwe kati ya hao waliotoa camera au walinzi?Mtani si unakumbuka jana nilikuambia usiivae hii mada kwa hamaki maana imekaa vibaya kwenu watetezi? Nilikuambia hii mada itakuwepo mpaka leo. Huoni umeamka uko fresh na sasa utafurahisha genge tu? Misimamo ya wale wanaosononeka kuhusu shambulio la Lissu iko palepale mnna maelezo mengine juu?
Nikuambie kitu kaka yangu, ukweli wa hili jambo na hao wanaotuhumiwa ndio hao hao, na hilo halitokaa libadilike hata mkeshe hapa jukwaani. Kimsingi ile ilikuwa ni aina ya siasa za kishenzi kupata kutokea hapa nchini. Huyo Lissu hakuwa msituni bali alikuwa anakosoa hadharani, alipaswa kujibiwa kisiasa, kibaya zaidi hata yale aliyokuwa anakosoa sasa yanaanza kuonyesha kwamba alikuwa na ufahamu wa mambo yale. Ni hatari sana kama taifa tukikalia kimya uovu kisa tuliyemkabidhi gurudumu hana pumzi ya kupambana kwa hoja za kisiasa. Sasa hebu ona mihemko imeisha, ukweli uko wazi hakuna wa kutulipa maana hatuna madai ya msingi na huku mwenzetu kaumia vibaya. Tufanyeni siasa lakini tusikubali kuwa taifa la kufuata tabia binafsi za mtu na hata kuishi kwa kufuata mapungufu yake. Nadhani umenielewa kiutu uzima.
IBU kwanza nani alitoa kameraMkuu sioni mkielezea kwa hoja zenye mashiko mkielezea kwanini dereva asiwe suspected zaid ya maelezo mengi ya kutafuta sympathy. Lieleze jukwaa kwanini dereva asitiliwe shaka?Kwanini dereva asiwe kati ya hao waliotoa camera au walinzi?
Bwana mkubwa alifanya usaliti mbaya sana. Hilo huwa hawapendiki kuliongelea.Mkuu sioni mkielezea kwa hoja zenye mashiko mkielezea kwanini dereva asiwe suspected zaid ya maelezo mengi ya kutafuta sympathy. Lieleze jukwaa kwanini dereva asitiliwe shaka?Kwanini dereva asiwe kati ya hao waliotoa camera au walinzi?
Kaka TL ana tatizo la kupenda sana kuongea. Yaani dereva awe na mbinu za kukuua halafu aje kukwambia!!.
Angesubiri akatoka hospitalini ndipo aongee vinginevyo anaweza kujikuta anaongea kitu halafu kikamgeuka mbeleni.
Huyu mtu alishawahi kuzungushwa ndani ya gari ya wale jamaa wa Oysterbay, bila ya kujua yupo sehemu gani. Kama mfumo ungetaka kummaliza kwanini nafasi ile isingetumiwa?.
Mfumo ukimtaka mtu ni ngumu sana kuchomoka.
Umeongea point sana mkuu, na huo ndio ukweli. Thumb up.Mtani si unakumbuka jana nilikuambia usiivae hii mada kwa hamaki maana imekaa vibaya kwenu watetezi? Nilikuambia hii mada itakuwepo mpaka leo. Huoni umeamka uko fresh na sasa utafurahisha genge tu? Misimamo ya wale wanaosononeka kuhusu shambulio la Lissu iko palepale mnna maelezo mengine juu?
Nikuambie kitu kaka yangu, ukweli wa hili jambo na hao wanaotuhumiwa ndio hao hao, na hilo halitokaa libadilike hata mkeshe hapa jukwaani. Kimsingi ile ilikuwa ni aina ya siasa za kishenzi kupata kutokea hapa nchini. Huyo Lissu hakuwa msituni bali alikuwa anakosoa hadharani, alipaswa kujibiwa kisiasa, kibaya zaidi hata yale aliyokuwa anakosoa sasa yanaanza kuonyesha kwamba alikuwa na ufahamu wa mambo yale. Ni hatari sana kama taifa tukikalia kimya uovu kisa tuliyemkabidhi gurudumu hana pumzi ya kupambana kwa hoja za kisiasa. Sasa hebu ona mihemko imeisha, ukweli uko wazi hakuna wa kutulipa maana hatuna madai ya msingi na huku mwenzetu kaumia vibaya. Tufanyeni siasa lakini tusikubali kuwa taifa la kufuata tabia binafsi za mtu na hata kuishi kwa kufuata mapungufu yake. Nadhani umenielewa kiutu uzima.
Uchunguzi Huru wa kimataifa ungetupa majibu yasiyoacha shaka kwa pande zote tatu,Watuhumiwa,CHADEMA na Familia ya Lissu.Je hakuna uwezekano wa dereva kushirikiana na mnaowatuhumu kumdhuru lisu?
Wewe ni kichaaa kama walivyo vichaa wenzako huko pumbavu zakoWanabodi
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio, yanahalisha wadadi kujiuliza maswali kihusu tukio lenyewe, hivyo kuhisi uhusika wa dereva wa Lissu, sio jambo la ajabu, tena uhusika wenyewe sio lazima uwe expressly but impliedly kwa negligence iliyopelekea Lissu kuwa reached na kushumbuliwa, wakati alikuwa na uwezo.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
- Kwa vile Lissu aliwahi kuripoti kufuatiliwa, kupitia press conference, kwa nini hakuripoti polisi?!.
- Baada ya Chadema kupokea taarifa ya Mnadhimu wake kufuatiliwa, walichukua hatua gani?.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- (Mimi niliwahi kuwa mwanajeshi wa JWTZ hivyo kuna kitu nakijua kuhusu hizi AK47 ndani ya jeshi letu, lakini vitu vingine ni siri za usalama wa taifa letu, sina uhakika mtu asiyepitia JWTZ, ana uwezo gani kuijua AK 47!.)
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali haya yameendelea kwa msaada wa mwana jf huyu
- Bunduki iliyotumika waliiona ni AK 47 iliyokuwa na full magazine (risasi 40) ambayo ilimimina risasi zote 40 at close range. Kati ya hizo 17 zilizama kwenye miguu, mikono na kiuno cha Tundu Lissu.
- Risasi zilimiminwa kutoka upande wa kulia wa gari ambao ni upande wa dreva lakini dreva hakupatwa na risasi hata moja na alipata hata fursa ya kuteremka kwenye gari na kwenda ku take cover kwenye magari yaliyokuwa yamepaki eneo hilo. Assailants walikuwa upande wa kulia wa gari, hivyo risasi zilizama zaidi kwenye mguu wa kulia, paja la kulia, mkono wa kulia, kiuno upande wa kulia na kutokea tumboni na mkono wa kushoto. These are the documented medical forensic clues.
- Majeshi yetu hayana bunduki za AK 47, yana SMG badala yake ambayzo full magazine zake ni risasi 30. Bunduki za AK47 zinamilikiwa na majambazi yanazozipata kutoka kwa wanajeshi wa Burundi wanaokimbilia Tanzania ambao huwa wanaziuza kwa bei ya shillingi 20,000 tu!! Silaha hizi ndizo zilitikisa huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji.
- Hakuna mwanajeshi ye yote (aliyepata mafunzo ya kijeshi) ambaye ampige mtu (adui) risasi 38 from an AK 47 gun at a close range halafu mtu huyo asalimike!! Never on earth. Kwanza atahitaji risasi moja tu na atafumua kichwa au moyo. Hivyo it is so obvious kwamba assailants wa Tundu Lissu walikuwa ni wahuni tu wa mitaani wasiojua kutumia bunduki. Yaani risasi 38 zote zinakosa target (kichwa au moyo) zinaishia kupiga makalio na hewa!! Hili halihitaji askari wa Scotland yard kulitambua. Swali ni nani aliwakodi hawa wahuni wasiojua shabaha? Kwa nini dreva wa Lissu akawa mkimbizi nchi za nje? Nini kakimbia? Kwani hata polisi wetu wakienda kumhoji huko kwani atasema lo lote la maana? Huko hawawezi kumu arrest. Alipaswa kuwa behind bars ili aeleze vizuri. Tundu Lissu alipaswa kujua hili. Mara nyingi kikulacho unacho nguoni mwako. Eti ninamuamini sana. Mbele ya pesa kunakuamini mtu? Yaani apewe shillingi million 500 aache kukumaliza? Yaani Tundu Lissu hajui kwamba "Money is the source of all evils in this world?"
- Hospitali ya serikali ya Dodoma na madaktari wa serikali wa Dodoma hospital ndiyo waliookoa maisha yake. Kama serikali ilikuwa na mpango wa kumuua, ingalishindwaje kumumalizia hapo hapo kwenye hospitali yake ya Dodoma humo humo operation theatre? It was so simple eg hiyo damu aliyopewa hangeipata au angalipewa incompatible blood ambayo ingalimumaliza hapo kwa hapo! Lazima aishukuru serikali kwa kuokoa maisha yake badala ya kuilaumu. Upinzani haupaswi kuwa wa aina hii. Tujifunze kwenye nchi zilizotutangulia.
- Bunduki kama AK 47 au SMG ikiunguruma si mchezo. Kwa askari yo yote trained, hata kama naye ana bunduki ya aina hiyo hiyo lakini kashutikizwa, reaction ya kwanza ni ku take cover. Atalala chini na ku craw hadi mahala salama. Hapo ndipo atatafuta kuona adui/ maadui walipo na kutafakari kama anao uwezo wa kupambana nao au kuomba reinfocement au kutokomea kabisa kwenye eneo hilo. Trained soldier hakurupuki tu kuanza kurusha risasi ovyo ovyo anapositukizwa na milio ya risasi. Hivyo kwa jinsi tukio lilivyotokea hapo usingalitarajia askari waliokuwa karibu na eneo hilo kuwa wangaliweza kuanza kujibu mapigo kwa muda huo mfupi uliotumika kabla ya majambazi hayo kutokomea kusikojulikana. Dreva wa Lissu aliyaona live na alitaja hata aina ya gari yalilotumia na plate namba zake. Polisi walikamata magari kadhaa ya aina hiyo lakini dreva huyo alikataa kwenda kuyatambua na hivyo yakabidi yaachiwe kwani hakuna shahidi aliyejitokeza. Shahidi muhimu alikuwa Nairobi akidaiwa anapata tiba ya kisaikolojia. Sasa hivi Lissu anasema dreva huyo yuko masomoni Ubeligiji. Sijui anasoma digrii gani hapo Leuven University teaching hospital anapotibiwa boss wake. Jamani aacheni kutufanya wajinga. Pascal yuko sahihi kabisa.
- Huko nyuma niliisha wahi kuzungumza haya kuhusu dereva wa Lissu.
Mpaka sasa the situation ya shambulio la Lissu as it is, limefanywa na watu wasiojulikana. Serikali yetu imeshindwa kuwabaini, lakini sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kama nilivyosema hapa.
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali yetu kufanya upelelezi wa tukio hili na kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya kuendelea na uanaharakati na kuishi kwa mashaka, au uamue kupunguza makali na kuishi kwa amani.
Pole Sana Mhe. Tundu Lissu, Get Well Soon.
P.
Rejea
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania - JamiiForums
P.
Kwel kabisa mie nampata vizuri SNA yangu enzi za KITIMOTo pale simba grillSijawahi kumuamini Pascal hata mara moja , ni mtu ninayemfahamu tangu enzi za kipindi cha KITIMOTO pale Simba Grill ni mtu mnafiki na ambaye njaa yake inaweza kusababisha akawala hata wanawe .
Ametumika mara nyingi sana .