Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hahahahahah! Tajiri Sotta. Umenikumbusha mitaa ya Kinondoni Facebookaisee kina ismail sotta,hivi yuko wapi yule mtu,dah ile kampani imewafanya vibaya sana vijana wa kiume wenye majina yao sababu ya tamaa zao
Ndiyo kila mtu anasema hii kitu ila rais anakaa kimya tu anamuangalia huku akimchekea na kusanifu watanzania.
Mungu anakulipa bi dada ulijua kumtesa baba IQRA ukafanya kila kituko mpaka kijana wa watu akakupa talaka, ukamfanya kijana wa watu akakosa focus kwenye maisha na kazin akawa haeleweki[emoji24] ..Ukasahau alivyokukuta unagongwa ovyo na madereva tax wa Sinza madukani kipindi hiko ukiwa umepanga kichumba tu huko mitaa ya NAMNANI, Ukajiona babkubwa ulivyoanza kualikwa kwenye birthdays za wadada wa mujini kwenda kuwapiga picha ili uwapost kwenye blog yako ya 8020 na kupewa vi elfu 50 vya kutia mafuta. Ukahisi baba Iqra si hadhi yako tena,Ushoga na mboni ukanoga mpaka kuja kumuiba Abdul kutoka kwa bff wako. Dah kweli malipo ni duniani
Shunie na wewe upo huku? Asalam alekhum mkuu!Sema kweli muna kawa hivyo mkuu
Unajuaje kuwa siyo kundi moja?
bado hela zipo??dah kuna wasanii nikiwaangalia hadi naona aibu miye watoto wa kiume wanainamishwa kisa pesaHahahahahah! Tajiri Sotta. Umenikumbusha mitaa ya Kinondoni Facebook
Mpuuzi sana huyu jamaa..Hii juzi juzi ana mnyonya yule binti tunda mke wake alishuhudia.
Mkuu fanya kuwa list au tumia hata code tuweze kuwatambua.bado hela zipo??dah kuna wasanii nikiwaangalia hadi naona aibu miye watoto wa kiume wanainamishwa kisa pesa
Alikuwa hivyo hivyo mpaka walipoanza kutukanana ndo akatulia akajikita zaidi kwenye biashara zakeIla ana low mashauzi yake si kama kina sahamimu na mange.
nasikia anitha anakula unga sasa hiviAna tatizo la kudharau wanawake sana, mkewe Anitha mwenyewe anavumila sana, kuna kipindi aliondoka akarudi Dar, akaangukia kwenye mikono ya salama Jabir, Kinje alipata taabu sana.
Anakula muda tu, sema kinje anamfungia ndani anaona aibu kumpeleka akatibiwe, kamuaharibu sana yule mwanamke.nasikia anitha anakula unga sasa hivi
Daah! Hivi kumbe ndio ilikua michezo yake ya kuwageuza wanaume!?bado hela zipo??dah kuna wasanii nikiwaangalia hadi naona aibu miye watoto wa kiume wanainamishwa kisa pesa
Katika watu ambao sipotezi mda kuwasikiliza ni hao wanaoitwa motivation speakers, ni waongowaongo sana.Alafu alivyompumbv kutwa kuwa hadaa wakina mama na motivation talks zake
Sjui women empower,namna ya kuwa mjasiriamali bora....mm sjui role model
Kioo cha Jamii
Sjui nlianza na mtaji wa laki moja leo Nna mamilion....uwongo mtupu
Alafu nchi hii bado watu wakawa wanampa coverage ya kuhojiwa kwenye mkasi,etc
Kumbe wauza sumu
Ova
Anitha anatumia jina gani instaAnakula muda tu, sema kinje anamfungia ndani anaona aibu kumpeleka akatibiwe, kamuaharibu sana yule mwanamke.
Sifahamu mkuu, ngoja kama kuna anaejua atatusaidia.. mtoto mzuri yule basi tu maisha unachagua garasa unaacha karata.Anitha anatumia jina gani insta
Ilikua hot mjini hapa....Yaani Kinje alilia baada ya kuibiwa mke na mwanamke? Ila Salama naye amezidi, hivi huko Dar hakuna wanaume wa kumshughulikia ipasavyo mpaka anawakoboa na kusaga wanawake wenzake?
Yule Dada mvumilivu haijapata tokeaHii juzi juzi ana mnyonya yule binti tunda mke wake alishuhudia.
Pale ilikuwa kazi tu, kipindi chao cha mkasi.
Da watoto masikini, mara zote wauza Unga na wake zao huwa wanaishia pabaya Sana, mke wa Hariri Kawa Chizi wa kufungwa kamba.
Anajiita iam_ nizurySifahamu mkuu, ngoja kama kuna anaejua atatusaidia.. mtoto mzuri yule basi tu maisha unachagua garasa unaacha karata.