Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Mungu anakulipa bi dada ulijua kumtesa baba IQRA ukafanya kila kituko mpaka kijana wa watu akakupa talaka, ukamfanya kijana wa watu akakosa focus kwenye maisha na kazin akawa haeleweki[emoji24] ..Ukasahau alivyokukuta unagongwa ovyo na madereva tax wa Sinza madukani kipindi hiko ukiwa umepanga kichumba tu huko mitaa ya NAMNANI, Ukajiona babkubwa ulivyoanza kualikwa kwenye birthdays za wadada wa mujini kwenda kuwapiga picha ili uwapost kwenye blog yako ya 8020 na kupewa vi elfu 50 vya kutia mafuta. Ukahisi baba Iqra si hadhi yako tena,Ushoga na mboni ukanoga mpaka kuja kumuiba Abdul kutoka kwa bff wako. Dah kweli malipo ni duniani


Haibu kubwa sana kwa Shamimu.
 
Alafu alivyompumbv kutwa kuwa hadaa wakina mama na motivation talks zake
Sjui women empower,namna ya kuwa mjasiriamali bora....mm sjui role model
Kioo cha Jamii
Sjui nlianza na mtaji wa laki moja leo Nna mamilion....uwongo mtupu
Alafu nchi hii bado watu wakawa wanampa coverage ya kuhojiwa kwenye mkasi,etc
Kumbe wauza sumu

Ova
Katika watu ambao sipotezi mda kuwasikiliza ni hao wanaoitwa motivation speakers, ni waongowaongo sana.
 
Da watoto masikini, mara zote wauza Unga na wake zao huwa wanaishia pabaya Sana, mke wa Hariri Kawa Chizi wa kufungwa kamba.


Nani anapenda kuona mwanawe analishwa unga? Wenye uchungu na watoto wao wamemrushia ile kitu toka kwenye Qur'an tukufu imchanganye akili.
 
Back
Top Bottom