Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Unakataa kwa sababu mama yake ni Ritha Mlaki au kwa sababu mtoto wa Ritha Mlaki ana maadili hawezi kuwa punda?

Duh mambo ni mengi na mda ni mchache wallah!

Ninakataa kwasababu ninamfahamu
 
Hata mimi nakataa Nambua ni fighter mnoo....tunakoelekea kila anaefanikiwa ataambiwa ni drug dealer.

Pia huyu Nambua kwenye crew ya kina shamim hata hayupo

Kabisa huwezi kumuweka kwenye crew kama hilo
 
Kwahio steve nyerere ndio Plug yao hapa mjini. Anaunga mitandao ya punda malaya pamoja na drug dealers


Jamaa ni magumashi sana, hana kazi mjini ila anaishi kupitia migongo ya watu kama ulivyotaja hapo juu. Siku hizi anaitwa 'Mze wa matangazo ya vifo,' akihamka kabla ya kutoka nyumbani anasikiliza matangazo ya vifo ili ajuwe nani kafa aende kuchukua tenda ya kuchangisha michango huku akijifanya kaguswa na msiba wakati aliyekufa hamjuwi. Jamaa inabidi akamatwe arudishwe kwao Morogoro akalime tu.
 


I hope watakuwa wamekusikia.
 
Akamatwe kwa kuwa anatuhumiwa kufanya makosa, lakini sio kwa sababu ya umaskini wako
Na hizi ndio chuki kubwa walizonazo wasiofanikiwa dhidi ya waliofanikiwa na ndio sababu ya wao kutofanikiwa zaidi.kumchukia na kumuombea mabaya mtu aliefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako...vice versa is true...
 
H
aahaaaaaa, eti kukutanulia mapaja, naona sasa mmechoka kutanuliwa mapaja na ma golddigger mmeamua nyinyi kuwatanua marinda kufidia hela ya matumizi mtoayo, shauri zenu na dhambi zenu.
 
Hata mimi nakataa Nambua ni fighter mnoo....tunakoelekea kila anaefanikiwa ataambiwa ni drug dealer.

Pia huyu Nambua kwenye crew ya kina shamim hata hayupo

Mkuu mjini kuna mengi. Mkono wa JPM utawagusa wengi. Vuta subira utayasikia tuu.

Nilichojifunza kwenye hili jiji la mstaafu Kandoro..lisilo kuhusu kaa nalo mbali.

Kama huamini ingia kwenye kumi na nane za watu..Ipo siku utaambiwa kwamba baba uliye naye siyo baba yako..na ushahidi utapewa!

Mjini tunajuana. Mengine yaache yapite.
 
Nambua Wakimfuatilia.....
 
Yeah biashara nyingi zilizokuwa zinaendeshwa kimagumashi bila kufuata taratibu za kibiashara ikiwemo kutunza vitabu na kukwepa kodi kwa sana nyingi zimeishia kufa vifo vibaya sana.

Watu wameishi lavish lifestyle kwa mbinu chafu mpaka wakazoea na kuona ni haki yao kuishi hivyo kumbe ilikuwa ni swala la muda tu. Waliokuwa wanaishi maisha ya level yao hawajayumba na life bado linasonga

Sahivi sheli za mafuta nyingi utaona zinanunuliwa na Total ushajiuliza tatizo ni nini? Na sio bongo tu ni hata mikoani!
 
Jamaa maisha yake ya hatari sana basi.
 
H

aahaaaaaa, eti kukutanulia mapaja, naona sasa mmechoka kutanuliwa mapaja na ma golddigger mmeamua nyinyi kuwatanua marinda kufidia hela ya matumizi mtoayo, shauri zenu na dhambi zenu.
Wahuni wanakula biriani tu kiroho mbaya,,, kama mbaya wacha na iwe mbaya😂😂😂😂😂
 
muda utasema kule IG nani alikuwa akijua Shamim Mwasha ni Pesa za Ngada? ni wachache sana walikuwa wakijua leo kakamatwa tena Red handed na mzigo na mkemia wa serikali kaupima kasema yes ni wenyewe! kumbe kule kuuza vibubu ni
ujanja wa nyani kula maindi mabichi.

hatusemi anauza au hashiriki Nambua Casandra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…