Yani i wish wanawake wangekaa kulielewa hili tu. Waathirika wakubwa wa kupenda makuu ni wanawake wa kimjini mjini wasiojua kutafuta kwa jasho ndio hawajuagi kuridhika. Yani ni ubishoo na kutaka makuu tu ndio maana vijana wanawakimbia wanaangukia kwa mababu au wauza unga maana mziki wa kuhudumia malaki si mchezo.
Saloon nywele laki 3 au zaidi,pedicure ,manicure , Outing viwanja vya maana anywe pombe anazokunywa Uwoya, Umlipie apartment ya USD 800-1000 kwa mwezi na ununue simu kila toleo jipya la iphone likiingia tu mjini. Ye kazi yake kuangalia kim kardashian kavaa nini nayeye avae! 😂😂😂😂😂 na kukutanulia mapaja...kwa hali hio lazma uuze madawa tu hamna namna!