Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Unakataa kwa sababu mama yake ni Ritha Mlaki au kwa sababu mtoto wa Ritha Mlaki ana maadili hawezi kuwa punda?

Duh mambo ni mengi na mda ni mchache wallah!

Ninakataa kwasababu ninamfahamu
 
Hata mimi nakataa Nambua ni fighter mnoo....tunakoelekea kila anaefanikiwa ataambiwa ni drug dealer.

Pia huyu Nambua kwenye crew ya kina shamim hata hayupo

Kabisa huwezi kumuweka kwenye crew kama hilo
 
Kwahio steve nyerere ndio Plug yao hapa mjini. Anaunga mitandao ya punda malaya pamoja na drug dealers

Jamaa ni magumashi sana, hana kazi mjini ila anaishi kupitia migongo ya watu kama ulivyotaja hapo juu. Siku hizi anaitwa 'Mze wa matangazo ya vifo,' akihamka kabla ya kutoka nyumbani anasikiliza matangazo ya vifo ili ajuwe nani kafa aende kuchukua tenda ya kuchangisha michango huku akijifanya kaguswa na msiba wakati aliyekufa hamjuwi. Jamaa inabidi akamatwe arudishwe kwao Morogoro akalime tu.
 
Hahaha hapo ndipo wadada wa mjini wanaponishinda, wacha nichukue mke wangu mshamba tu ila nimempenda mwenyewe. Hawa wabandika kucha hapana! Ni kutafta stress tu. Ifike mda wanawake waelewe kila mtu anatakiwa kuwa na maisha kwa kiwango chake sio lazma kufosi wote muwe na maisha ya Klynn au Zari the boss lady wakati sio size yenu!

I hope watakuwa wamekusikia.
 
Akamatwe kwa kuwa anatuhumiwa kufanya makosa, lakini sio kwa sababu ya umaskini wako
Na hizi ndio chuki kubwa walizonazo wasiofanikiwa dhidi ya waliofanikiwa na ndio sababu ya wao kutofanikiwa zaidi.kumchukia na kumuombea mabaya mtu aliefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako...vice versa is true...
 
H
Yani i wish wanawake wangekaa kulielewa hili tu. Waathirika wakubwa wa kupenda makuu ni wanawake wa kimjini mjini wasiojua kutafuta kwa jasho ndio hawajuagi kuridhika. Yani ni ubishoo na kutaka makuu tu ndio maana vijana wanawakimbia wanaangukia kwa mababu au wauza unga maana mziki wa kuhudumia malaki si mchezo.

Saloon nywele laki 3 au zaidi,pedicure ,manicure , Outing viwanja vya maana anywe pombe anazokunywa Uwoya, Umlipie apartment ya USD 800-1000 kwa mwezi na ununue simu kila toleo jipya la iphone likiingia tu mjini. Ye kazi yake kuangalia kim kardashian kavaa nini nayeye avae! 😂😂😂😂😂 na kukutanulia mapaja...kwa hali hio lazma uuze madawa tu hamna namna!
aahaaaaaa, eti kukutanulia mapaja, naona sasa mmechoka kutanuliwa mapaja na ma golddigger mmeamua nyinyi kuwatanua marinda kufidia hela ya matumizi mtoayo, shauri zenu na dhambi zenu.
 
Hata mimi nakataa Nambua ni fighter mnoo....tunakoelekea kila anaefanikiwa ataambiwa ni drug dealer.

Pia huyu Nambua kwenye crew ya kina shamim hata hayupo

Mkuu mjini kuna mengi. Mkono wa JPM utawagusa wengi. Vuta subira utayasikia tuu.

Nilichojifunza kwenye hili jiji la mstaafu Kandoro..lisilo kuhusu kaa nalo mbali.

Kama huamini ingia kwenye kumi na nane za watu..Ipo siku utaambiwa kwamba baba uliye naye siyo baba yako..na ushahidi utapewa!

Mjini tunajuana. Mengine yaache yapite.
 
60% ya wadada waliokuwa wanafuata bidhaa china walikuw wanajiload plummer miaka ya nyuma. Nambua sidhani kama alikosa. Enzi hizo consolidator wa mizigo ya kutoka china alikuwa Muddy Mas.

Nambua na Shamim wanishi kaya moja hapo mbezibeach nyuma ya shoppers na kaya hiyo ina madon zaidi ya 6 wa poda. Ndege wafananao ndio huruka pamoja.
Nambua Wakimfuatilia.....
 
Kiongozi tatizo binadamu hatujifunzi. It is human nature!

Maisha ya Dar yanachanganya na wengi yametuchanganya. Ndo maana 90% hatumuelewi JPM! Kwa sababu anauliza..nimepunguza mishahara? Hapana…..in fact analipa mishahara 20th ya kila mwezi! (sasa shida iko wapi?-hakuna mwenye jibu). Ukweli ni kwamba wengi tumeishi above and beyond our means kwa mda mrefu sana. Ndo maana hata Jiwe angeongeza 100% ya mishahara malalamiko hayawezi kuisha. Kwa sababu wengi pesa zetu tunajua wenyewe zinatoka wapi (Shamim anakwambia kibubu na online business leo mkono wa Jamhuri umemuumbua).

Hata huko sector binafsi ni full ujanja. Business man sijui nini..mwisho wa siku wahusika wakikagua vitabu inabidi ufunge biashara tuu. (Nina jamaa yangu he was so "successful" in the past 15-20 years as corporate professional with his business..kaingia JPM..mzee jamaa ofisi amefunga-biashara zilikuwa full ujanja).

Bongo dogo anapata kibarua TRA next few months anataka asukume Range na ghorofa Mbezi. At some point tutakwama tuu.

Maisha haya ya JPM yapo to stay. ASIYESIKIA WALA KUONA basi ana lake jambo!
Yeah biashara nyingi zilizokuwa zinaendeshwa kimagumashi bila kufuata taratibu za kibiashara ikiwemo kutunza vitabu na kukwepa kodi kwa sana nyingi zimeishia kufa vifo vibaya sana.

Watu wameishi lavish lifestyle kwa mbinu chafu mpaka wakazoea na kuona ni haki yao kuishi hivyo kumbe ilikuwa ni swala la muda tu. Waliokuwa wanaishi maisha ya level yao hawajayumba na life bado linasonga

Sahivi sheli za mafuta nyingi utaona zinanunuliwa na Total ushajiuliza tatizo ni nini? Na sio bongo tu ni hata mikoani!
 
Jamaa ni magumashi sana, hana kazi mjini ila anaishi kupitia migongo ya watu kama ulivyotaja hapo juu. Siku hizi anaitwa 'Mze wa matangazo ya vifo,' akihamka kabla ya kutoka nyumbani anasikiliza matangazo ya vifo ili ajuwe nani kafa aende kuchukua tenda ya kuchangisha michango huku akijifanya kaguswa na msiba wakati aliyekufa hamjuwi. Jamaa inabidi akamatwe arudishwe kwao Morogoro akalime tu.
Jamaa maisha yake ya hatari sana basi.
 
H

aahaaaaaa, eti kukutanulia mapaja, naona sasa mmechoka kutanuliwa mapaja na ma golddigger mmeamua nyinyi kuwatanua marinda kufidia hela ya matumizi mtoayo, shauri zenu na dhambi zenu.
Wahuni wanakula biriani tu kiroho mbaya,,, kama mbaya wacha na iwe mbaya😂😂😂😂😂
 
muda utasema kule IG nani alikuwa akijua Shamim Mwasha ni Pesa za Ngada? ni wachache sana walikuwa wakijua leo kakamatwa tena Red handed na mzigo na mkemia wa serikali kaupima kasema yes ni wenyewe! kumbe kule kuuza vibubu ni
ujanja wa nyani kula maindi mabichi.

hatusemi anauza au hashiriki Nambua Casandra.

Back
Top Bottom