Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Sasa aliwekewaje wakati upande mwingine unakiri kweli alikuwa anauza?
Wanatuchanganya au ndiyo wafaidika wenyewe, sasa tutasemaje kama ni muuzaji iweje awekewe, basi wasema wenzie walimchomea ndiyo maana akakamatwa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hawa nao. Walikubali wenyewe na barua wakaandika. Kukubali kusafirisha madawa. Sijasoma sheria ila mtu kakubali kosa kinachofuata ni hukumu kufuatana na kosa. Sheria ipo wazi. Sijui wakili wao ni nani ?Walikosea sana kufuata Mkumbo watu walipokuwa wanakiri kusafisha pesa. Nao wakajiweka kitanzini kuwa walisafirisha madawa.
Na hapo ndo pagumu watakapokata rufaa

Itakuwa vigumu jopo la majaji kwenye appeal yao kupindisha hukumu

Why? Kwa sababu wamekiri tena kimaandishi na signature

Hii ni mbaya sana sana!
 
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Hio adhabu ipo kwa mujibu wa sheria. Ni mandatory minimum, ukiwatia hatiani, ndio adhabu peke yake kwenye kitabu

1617205842011.png
 
Wanaotuhumiwa kwa corruption wakiwa wanapata vifungo kama hivi mahakamani, basi Afrika tungekuwa mbele kiuchumi sana tu [emoji848]

The penalties for white-collar offenses include fines, home detention, community confinement, paying the cost of prosecution, forfeitures, restitution, supervised release, and imprisonment. Federal Sentencing Guidelines suggest longer prison sentence whenever at least one victim suffered substantial financial harm.
 
Hivi ukiongea uwongo unapata faida gani?! Hao watu wawili wote nawajua tena kwa kukaa wote na kupiga story hata wenyewe walishangaa huwi uzushi umetokea wp!!
Eti nikakaa nao na kupiga story blah blah, wewe sikia walinyang'ana bwana hao
Kama hutaki kajiny.ee ulale
 
Na hapo ndo pagumu watakapokata rufaa

Itakuwa vigumu jopo la majaji kwenye appeal yao kupindisha hukumu

Why? Kwa sababu wamekiri tena kimaandishi na signature

Hii ni mbaya sana sana!
Yaani wakili wao kilaza sana. Walijua kusafirisha dhahabu ni sawa na kusafirisha madawa ya kulevya ?Magufuli kawaponza. Alitangaza wenye kesi ya kutakatisha pesa wakubali kisha walipe watoke. Sasa hawa wauza madawa ya kulevya walitegemea walipe Heroines ?Au Cocaïne ?
 
Chief, vipi ile kesi ya yule mume na mkewe waliokamatwa China (sina hakika) wakiwa na mtoto mdogo na mtoto akarudishwa na ubalozi hapo nyumbani Tz, imeendaje?

Kipindi kile watu humu walisupport maamuzi ya China (?) juu ya hukumu yao ila hapa tunatetea yaleyale??
Kule walihukumiwa mzee mtoto alirudishwa bongo

Ova
 
Yaani wakili wao kilaza sana. Walijua kusafirisha dhahabu ni sawa na kusafirisha madawa ya kulevya ?Magufuli kawaponza. Alitangaza wenye kesi ya kutakatisha pesa wakubali kisha walipe watoke. Sasa hawa wauza madawa ya kulevya walitegemea walipe Heroines ?Au Cocaïne ?
Imagine jamani[emoji848]

Ila namuona huyo nsembo mahakamani ana confo balaa, anasema hayo ni maamuzi ya jaji mmoja! Mbele mambo yatakuwa bien
 
Imagine jamani[emoji848]

Ila namuona huyo nsembo mahakamani ana confo balaa, anasema hayo ni maamuzi ya jaji mmoja! Mbele mambo yatakuwa bien
Hana akili. Kilaza yule.Kwa sababu ikitokea jaji mwingine afute adhabu,serikali itakata rufaa. Kwanza Jaji wala hawezi futa adhabu maana wamekubali tena kwa maandishi kuwa wanasafirisha madawa ya kulevya.
 
Hawa nao. Walikubali wenyewe na barua wakaandika. Kukubali kusafirisha madawa. Sijasoma sheria ila mtu kakubali kosa kinachofuata ni hukumu kufuatana na kosa. Sheria ipo wazi. Sijui wakili wao ni nani ?Walikosea sana kufuata Mkumbo watu walipokuwa wanakiri kusafisha pesa. Nao wakajiweka kitanzini kuwa walisafirisha madawa.

Unajua kipindi kile cha cha uhujumu uchumo andikeni barua ma makosa haya nayo yaliwekwa kwenye kundi hilo mdio wengi waliamua kuandika barua baadae watu wa madawa wakalataliwa ndio tatizo hapo lilipokuja ..
Mungu amsaidie shamim atokea huyo mumewe hata akibaki huko sawa tu yeye ndio sbb ya yote haya
 
Tena huyu Shamimu alikuwa na mumewe wa kwanza very humble, tamaa mbaya sana. Alimkimbia mumewe kwa tamaa na kuolewa na muuza madawa.
Tena aliambiwa mapema sana kwamba huyo Abdul ni muuza madawa, Ila akajifanya hasikii. Leo kiko wapi, jela maisha duh hatari sana.
Alimuona mme wake wa kwanza fala hana kitu akamfata mwenye hela

Ova
 
Eti nikakaa nao na kupiga story blah blah, wewe sikia walinyang'ana bwana hao
Kama hutaki kajiny.ee ulale

Weww ndio ukajinyee ulale kukaa kutunga uwo kisa hujulikani [emoji16][emoji38]
 
Back
Top Bottom