Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
HahahahaTukileta picha za Hotel utaomba Pooh!
Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.
Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wachagga wajomba zako, so wewe kiasi fulani ni tofauti na wahaya wengine, utaenda Rombo?
Mbona wewe huulizi zenye label ya bukoba WADAU?INRI bwana unachekesha. Hivi wewe ulishwahi kuona picha zinapigwa zinajisevu kwa hayo majina yako. Eti picha imeseviwa "Makundi home" Achabkuokoteza picha fb mnaziedit majina[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yaan umechanganyikiwa na picha za uchagani vijijin hadi unadhani ni za ulaya? Huoni mlima kilimanjaro? Au mlima kilimanjaro upo marekani ? Umelewa rubisi weweWapi mashamba baba?? Eti kijijini huku. Hebu funga data ukalale hujui kazi yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amezidiwa hoja huyo mnywa rubisiZinatumwa group, "MOSHI NI KWETU". mtu akipiga picha huwa ana uwezo wa kurename ili kukumbuka location ya picha, una lingine?
Au unakataa hapo sio kijijini Marangu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unalia kimoyomoyo poleNa nyumba zenyewe ndo hizi?? Ni za kawaida sana mkuu. Tena ungejua ni hizi tangu mapema ungeshaacha ligi siku nyingi sana. Endelea kusubiri mvua ikatike nifanye tour hapa kijijini kwetu nitume picha humu uelewe vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepoteana na Majumba makali u hagan hadi mnasema lodge? Lodge za vijin Ni Kama hiziBasi Tu siko bukoba.
Ningekuwa bukoba walai wasingeonekana hapa.
Yaan wanatupostia lodge za kupumzikia watalii huko na wazungu wavaa chupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyie za bukoba mnazoweka hapa mmepiga kwa simu zenu? Muulize instanbul je picha anazoweka hapa kazipiga?Mkuu picha zako nyingi ulizopost nina vyanzo vyake nakusitiri tu. Au nizi screenshot nizitume hapa?? Wachaga kwa nini msipige picha kwa simu zenu huko vijijini mnakimbilia mitandaoni kuna shida gani??Mara 100 hata mkuu instanbul amezitoa kwenye post za nyuma ambazo tuliwahi kuzipiga kwa kamera zetu na kuzituma sisi wenyewe hapa JF kuliko kitendo mnachofanya nyinyi na kuziedit majina. Ushamba. Hii inaonesha hamna maajabu ya kutuonesha mna kelele tu. Nimewadharau sana kuanzia leo. Mfyuuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona za instanbul zenye label ya bukoba WADAU husemi?Blaza tushakataa kabobo nyingi nenda kwenu kapige picha achana na picha za kutafutia nyuma ya keybord. Mfyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
UmepanicBora hata mwenzio kazitoa kwenye uzi wa wahaya na wachaga hapa hapa JF. Wewe unapotoa hizo zako unapajua?? Kapigeni picha kwenu acha kuoloteza picha nyingine za nyimba za Bukoba mnaziedit na kuzipa majina ya Moshi. Nimekereka[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan zikitoka kwenye Uzi huu Ni picha au mawe?Umejisahau na nyingine umezitoa kwenye uzi huu huu na ukazi rename. Natangaza rasmi wachaga hamna kitu cha kutuonesha huko kwenu. KELELE TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumewatoa baru mmekimbia sasa hv tunajipongeza kwa bia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tunefanikiwa kuwavurugia uzi hawa walewa mbege. Eti shamra shamra za X Mass[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi sio shamra shamra tena ni kuhaha kutafuta picha kwa magrup yao na mitandaoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nshomile sio watu wazuri kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan sisismizi amtoe tembo kwenye reli? Hahaha dunia nzima ipo attention na uchagani wala sio huko porini kwenu mnakologanaHaina kutumia nguvu nyingi. Nyie tushawatoa kwenye reli[emoji3][emoji3]
Nimetoka kukata ndizi shambani karibu tukuleView attachment 1301009
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nyumban kwenu kumechoka hivyo? Ka dirisha ka mbao ?Haina kutumia nguvu nyingi. Nyie tushawatoa kwenye reli[emoji3][emoji3]
Nimetoka kukata ndizi shambani karibu tukuleView attachment 1301009
Sent using Jamii Forums mobile app
@kaina atasema hapa ni uingerezaMoshi vijijini hapana. Ngoja niendelee kutembea tembea.
Bomu la Hiroshima and Nagasaki limewatuliza watu huko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301041
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaKwa lami hizi nani akatae kwao?
Waache ndugu zetu wakamate senenene huko mashambani ambapo hakufikiki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301045
Sent using Jamii Forums mobile app