Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Tukileta picha za Hotel utaomba Pooh!

Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.

Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INRI bwana unachekesha. Hivi wewe ulishwahi kuona picha zinapigwa zinajisevu kwa hayo majina yako. Eti picha imeseviwa "Makundi home" Achabkuokoteza picha fb mnaziedit majina[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe huulizi zenye label ya bukoba WADAU?
Kwan hiyo picha Ni ya uchagani au si uchagani ? Hiyo ndio hoja tulia dawa ipenye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi Tu siko bukoba.

Ningekuwa bukoba walai wasingeonekana hapa.


Yaan wanatupostia lodge za kupumzikia watalii huko na wazungu wavaa chupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]




Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepoteana na Majumba makali u hagan hadi mnasema lodge? Lodge za vijin Ni Kama hizi
FB_IMG_15702098938113855.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu picha zako nyingi ulizopost nina vyanzo vyake nakusitiri tu. Au nizi screenshot nizitume hapa?? Wachaga kwa nini msipige picha kwa simu zenu huko vijijini mnakimbilia mitandaoni kuna shida gani??Mara 100 hata mkuu instanbul amezitoa kwenye post za nyuma ambazo tuliwahi kuzipiga kwa kamera zetu na kuzituma sisi wenyewe hapa JF kuliko kitendo mnachofanya nyinyi na kuziedit majina. Ushamba. Hii inaonesha hamna maajabu ya kutuonesha mna kelele tu. Nimewadharau sana kuanzia leo. Mfyuuu[emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyie za bukoba mnazoweka hapa mmepiga kwa simu zenu? Muulize instanbul je picha anazoweka hapa kazipiga?
Sisi wachaga hatukatai picha za bukoba hata kama zimepigwa na blog Instagram nk ili mradi ziwe za kweli
Sasa unaweza kubishia picha ya uchagani unayoona mlima kilimanjaro kabisa? UNATAKIWA KUPIMWA AKILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata mwenzio kazitoa kwenye uzi wa wahaya na wachaga hapa hapa JF. Wewe unapotoa hizo zako unapajua?? Kapigeni picha kwenu acha kuoloteza picha nyingine za nyimba za Bukoba mnaziedit na kuzipa majina ya Moshi. Nimekereka[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanic
Kwan picha za instanbul kapiga yeye? Mbona zina label ya bukoba WADAU? Umepanic ulipoona ulaya ndogo uchagani njoo unywe bia moja una njaa kali
FB_IMG_15771047909327586.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie endeleeni kuokoteza vipicha vyenu vya huko Marangu mitandaoni,
Mimi nipo kwenye beach tuliivu saaana ya kipekee Tanzania Beach ya Bukoba!! Sijaona kama Bk

Wachaga sauti inatosha??
IMG_1576846584871.jpeg
20191222_181158.jpeg
20191223_170015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tunefanikiwa kuwavurugia uzi hawa walewa mbege. Eti shamra shamra za X Mass[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hivi sio shamra shamra tena ni kuhaha kutafuta picha kwa magrup yao na mitandaoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nshomile sio watu wazuri kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumewatoa baru mmekimbia sasa hv tunajipongeza kwa bia
Mna huo uwezo nyie maskini wa kihaya?
FB_IMG_15771047909327586.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom