Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Hiyo miwaya ulimpa weye,wanawake tuache unafiki naomba ripoti yake kuwa ni muathirika. Bila uthibitisho jua una roho ya chuki na hutokuja kufanikiwa kwa kuwachukia wanawake wenzako waliofanikiwa.
kafanikiwa kitu gani?....hivi bongo movie inaeleweka inakoelekea au ilipo?
 
Hahaaaa....dah
 
Kupyatil pyatila....

Makaveli10 wewe ni wa Iringa?
 
Mimi naona sifa hizo anazo, sema tatizo mibwana aliyokua nayo nyuma yote mitahira.
 
Kununua gazeti jioni ni dharura ya kujitakia..

Wachache watanielewa..!!
 
Ukichukulia mambo ya mwenzio siriaz utaishia kuwa na stress tu!! Povu la nini na akati mtu kaongea vyenye anajichukulia na kujithamini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…