TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Naikumbuka hiyo story
 
Hivi una dhani ni rahisi kutoa kafara enhee? Tena kwa mtu unayeshea nae kitanda na mmezaa watoto?


Muda mwingine utajichumia dhambi bila sababu ya msingi
Mpuuze huyo
Leo amepata pepo la uropokaji
 
Weee unajidanganya sana, khaaaaah watu wanatoa hadi ndugu wa wake zao na wanafanikiwa kupata hela. Acha kabisa damu ya binadamu.
Dada hizo ni story ingekua kafara dini kungekua hakuna masikini iringa na usukumani ndio wanapenda hayo mambo
 
Wanakua hai ktk hali ya nguvu za giza (ndondocha na misukule), hivyo kwa hali ya kawaida hawaonekani, ila wataalamu wa mambo hayo wanaona, km waganga, wachawi, na watu waliojizindika.
Kuna matajiri wa madini tulikua tunawaona na pesa tunaambiwa ulonzi wametumia,wengi sasa havi hawana hata mia sasa faida yake nini pesa inatakiwa ikae kuanzia miaka 10 mpka 30 uwe kwenye level
 
Kama maisha yako unaishi kwa kulishwa story za vijiweni basi utakuwa na matatizo makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…