Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Vifo visivyo vya ajabu ajabu vipoje ?Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo visivyo vya ajabu ajabu vipoje ?Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Kutoa kashfa juu juu kama bao la kuku pasipo uthibitisho ni dalili za kuwa mpukbavuHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Naikumbuka hiyo storyI hope hujamaanisha ulivosema kwamba ungemtoa mkeo km ingeku Guarantee kupata Pesa. Halafu kuna Member mwezi huuhuu alitoaga Story ya hapo kijijini kwao jinsi mvlana wa hapo kijijini kwao alivomtoa Kafara mume wa Dada yake na baadae wakageukana na kutoleana siri.
Mpuuze huyoHivi una dhani ni rahisi kutoa kafara enhee? Tena kwa mtu unayeshea nae kitanda na mmezaa watoto?
Muda mwingine utajichumia dhambi bila sababu ya msingi
Dada hizo ni story ingekua kafara dini kungekua hakuna masikini iringa na usukumani ndio wanapenda hayo mamboWeee unajidanganya sana, khaaaaah watu wanatoa hadi ndugu wa wake zao na wanafanikiwa kupata hela. Acha kabisa damu ya binadamu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nishakutana na uyu jamaa kibaha kwa matias kwenye kichochoro flani ivi alafu huo mtaa kuna mganga
Kuna matajiri wa madini tulikua tunawaona na pesa tunaambiwa ulonzi wametumia,wengi sasa havi hawana hata mia sasa faida yake nini pesa inatakiwa ikae kuanzia miaka 10 mpka 30 uwe kwenye levelWanakua hai ktk hali ya nguvu za giza (ndondocha na misukule), hivyo kwa hali ya kawaida hawaonekani, ila wataalamu wa mambo hayo wanaona, km waganga, wachawi, na watu waliojizindika.
Kwani walihama? RIP Shamsa!Pole Tale, huyu mkewe si walikuwa wanakaa nae Mikocheni Warioba.
Jamani Vicky, maneno makali sana haya msukuma mwenzangu, tuomboleze kwanza.....RIP Shammy!Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Kama maisha yako unaishi kwa kulishwa story za vijiweni basi utakuwa na matatizo makubwa sananaomba niandike kitu kwa herufi kubwa yaani msisitizo. JAMANI HAPA NAAMINI KABISA HUYU JAMAA KAHUSIKA KAMA KAFARA,MNASHANGAA HILI MNGESHANGAA LA MWAMPOSA KUTOA KAFARA LA WATU 20 KULE MOSHI..MWAKA FULANI NILIKAA SEHEMU NA MSHIKAJI WANGU TUNAPIGA STORY NA MENEJA FULANI WA MZIKI MJANJAMJANJA ALIYEKUWA WA KWANZA KUMTOA MSANII NAMBA MOJA WA BONGO FLEVA KATIKA STORY JAMAA ALIKUWA ANASIKITIKA SANA JUU YA MWANADADA MDANGAJI KIPINDI HICHO ALIYEANZIA KWENYE MOVIE KWA SASA ANAJULIKAN KAMA MIMBAJI INGAWA AAFAKE FAKE TU MZIKI WENYEWE PIA ANAJULIKANA KWA UJASIRIAMALI WA KUPIKA MISOSI,MENEJA HUO ALIMPELEKA MWANADADA HUKO NDANINDANI KWA MGANGA MAARUFU ALIYEMUAMBIA AMTOE BINTI YAKE KAMA KAFARA NA DADA ALIKUBALI KWA MOYO MMOJA HUYU BWANA MENEJA AKAMUAMBIA MGANGA TUTARUDI,WALIVYOONDOKA AKAMUAMBIA MWANADADA SIHUSIKI KWENYE HILI DEAL,BINTI BADO YUPO HAI SIJUI BADAYE ALIMTOA NANI KAFARA MAANA MAMBO YAKE KWENYE MISOSI SIYO MABAYA
NIWAKUMBUSHE PIA MBONGO FLEVA NAMBA MOJA NA KISA CHA BIBI YAKE WANAOJUA HIYO STORY SIYO SIRI BIBI ALIDANJISHWA YUKO KWENYE VIDEO YAKE YA KWANZA ILIYOMTOA
AmenJamani Vicky, maneno makali sana haya msukuma mwenzangu, tuomboleze kwanza.....RIP Shammy!
Changamoto ya upumiaji...Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
SijuiVifo visivyo vya ajabu ajabu vipoje ?
Covid 19 haipo Tanzania.Changamoto ya upumiaji...
Akipita humu ndani akaona comment zako lazima akuendee kwa mganga na wewe.Mimi ni mtumishi wa Mungu. Tale ndo anaendesha maisha yake kwa kutumia waganga.
Unataka na wewe ukajaribu mkuu?Sasa anafanikiwa kweli?
Ujinga kila pahaliKumbe Tale alikuwa anakojolea pazuri hivoooo
Wakubwa mnafaidiwaUjinga kila pahali
"Better stay silence if u feel to speak out words that would hurt others!" From the UnknownHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.