TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

ngoja tuone kama atagombea ubunge
Usishangae Mzee ukisikia anagombea manake bunge likishashuka hadhi basi kila mtu anaamini anaweza kuwa mbunge!! Hivi ni nani kwa mfano anayeshindwa kumwaga "nondo" kama za Msukuma?!

NI nani kwa mfano asiyeweza kumwaga "nondo" kama Lijuakali?!
 
Ndio maana nasema walokole ni wajinga Sana mnataka mnavyoishi nyie ndio kila mtu aishi.

Kuna makabila hapa tanzania kwenye msiba huwa ni mwendo wa Bia Hadi asubuhi sijui hao nao unawazungumziaje Kama unakereka kuona Babu tale akiwa na huzuni ndogo usoni kwako. Mwisho wa siku huzuni ya mtu iko moyoni mwake na sio ikae usoni kwake ili wewe ufurahi.
Kuna siku nilienda kwenye msiba fulani hivi hadi nikahisi nimepotea nyumba nikaenda nyumba ambayo inafanyika harusi!

Kwanza nimekuta watu wana-dance balaa! Na kama unavyosema, ilikuwa full pombe to the point huwezi kabisa kuamini kwamba pale ni msibani!
 
Mzee kwa hiyo kama kifo kimetokea na mambo mengine yasiendelèe?so unatakiwa uwe unalia tu mana itasaidia afufuke arudi?huyo kashakwenda hatuponae,hata akionesha majonzi aisaidii,mwache ajifariji huenda simu inampunguzia mawazo pia.
Kuna watu wanafiki sana! Sijui ni kuelemewa sana na mawazo ya kishirikina au ni chuki tu!!

Yaani umaarufu wa Tale watu sijui wamejiuliza hadi sasa katumiwa messages ngapi! Kwahiyo walitaka hata kujibu message hasijibu eti ili aonekane ameguswa na msiba... sasa unafiki wenyewe si ndo huo!!

Wanashindwa hata kutumia common sense kwamba hata kama amemuua bado angeweza ku-fake huzuni 24/7 ili kila mmoja aone ni namna gani alivyoumizwa na msiba wa mkewe!

Lakini watu walivyo wanafiki, Tale huyo huyo endapo angeonekana kuwa na huzuni, hao hao wangesema "mnafiki tu huyo, huzuni ya kujifanyisha tu hiyo!"

Nimeshawahi kushuhudia ripoti mbalimbali zikitaja Tanzania kama moja ya nchi zinazoamini sana mambo ya kichawi! Kwa mfano mtandao wa "HowAfrica" Tanzania waliiweka #10 duniani! Mtandao wa the Richest ulituweka #3 duniani!

Yaani ukiwasoma watu hapa, ambao majority ni vijana wadogo tu ndipo utakapogundua kwamba kweli Tanzania ushirikina ni dini ya kwanza! Unajua unapoamini jambo fulani linawezekana ina maana hata wewe ukiwa badly cornered basi unaweza kufanya!

God Forbid!!
 
Mkiangalia ile clip wapo makaburini kasimama na Ridhiwan anambebeleza babu Tale ana uchungu sana.

Wanaume siku zote wanajikaza sababu wao ndo wanaozika na mipango yote wanaaipanga wao, pili kuna watoto inabidi kujikaza sawa sawa.
Lakini kuna kipindi hata akijikaza vipi uchungu unaonekana.

Kuna baba juzi alizika mke na watoto siku moja kwenye video yeye ndo anaonekana hana majonzi.

Lakini yule baba hakumaliza wiki aiseee presha ikamuondoa.
 
Babu Talent mluguru naona kaenda kuzika mke kijijin kwao kabisa
 
Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Mtu ambae alikufa kifo cha ajabu ni Abdul Bonge peke yake, na kimsingi wala hakikuwa kifo cha ajabu zaidi tu ya kuwa hakikutarajiwa!

Siku ya siku Abdul Bonge alienda kuamulia ugomvi wa mtu na mke wake, na alienda kufanya hivyo baada ya kuombwa! Sasa kama ujuavyo mtiti ugomvi wa watu waliopandwa na jazba, kufika pale Abdul Bonge akasukumwa na mume, na kwa bahati mbaya akaenda hadi chini kwa kujibamiza kichwa!

In short, kifo cha Abdul Bonge wala hakina tofauti na kifo cha Kanumba.

Sasa watu wanazungumzia suala la "vifo" kwa sababu kifo cha Abdul kiliongozana na kifo cha baba yao... nadhani kulikuwa na gap la less than 3 months!
 
Kuna siku nilienda kwenye msiba fulani hivi hadi nikahisi nimepotea nyumba nikaenda nyumba ambayo inafanyika harusi!

Kwanza nimekuta watu wana-dance balaa! Na kama unavyosema, ilikuwa full pombe to the point huwezi kabisa kuamini kwamba pale ni msibani!
Sasa sijui Huyo mlokole hapo angesemaje
 
Sasa sijui Huyo mlokole hapo angesemaje
Man, usidhani kwamba hawajui... ni chuki tu na kuendekeza ushirikina ndiko kunawasumbua! Tena Waafrika tuna hadi zile mila zetu za watani! Siku ya kwanza kushuhudia niliwaona wale jamaa kama hawana moyo... how come unaleta "masihara" msibani?!

Kuja kuelimishwa, naambiwa wale wanafanya vile ili ku-divert attention ya majonzi waliyonayo wafiwa! Sasa wenzetu hapa wangesema wale ndo wamemloga marehemu, si mnaona wasivyojali!!!
 
Kuna watu wanafiki sana! Sijui ni kuelemewa sana na mawazo ya kishirikina au ni chuki tu!!

Yaani umaarufu wa Tale watu sijui wamejiuliza hadi sasa katumiwa messages ngapi! Kwahiyo walitaka hata kujibu message hasijibu eti ili aonekane ameguswa na msiba... sasa unafiki wenyewe si ndo huo!!

Wanashindwa hata kutumia common sense kwamba hata kama amemuua bado angeweza ku-fake huzuni 24/7 ili kila mmoja aone ni namna gani alivyoumizwa na msiba wa mkewe!

Lakini watu walivyo wanafiki, Tale huyo huyo endapo angeonekana kuwa na huzuni, hao hao wangesema "mnafiki tu huyo, huzuni ya kujifanyisha tu hiyo!"

Nimeshawahi kushuhudia ripoti mbalimbali zikitaja Tanzania kama moja ya nchi zinazoamini sana mambo ya kichawi! Kwa mfano mtandao wa "HowAfrica" Tanzania waliiweka #10 duniani! Mtandao wa the Richest ulituweka #3 duniani!

Yaani ukiwasoma watu hapa, ambao majority ni vijana wadogo tu ndipo utakapogundua kwamba kweli Tanzania ushirikina ni dini ya kwanza! Unajua unapoamini jambo fulani linawezekana ina maana hata wewe ukiwa badly cornered basi unaweza kufanya!

God Forbid!!
Hivi ushirikina wivu na chuki baba zao ni mmoja ?
 
Hapo watakuambia mnafiki tu huyo! Yaani kwao mtu akionesha huzuni "ni mnafiki" na akijikaza aonekane normal "hajaumizwa na msiba"! Na of course hizo video zipo na wala usidhani hawajaziona!
Wabongo kuna baadhi setting akili zetu haipo sawa
 
Hivi ushirikina wivu na chuki baba zao ni mmoja ?
Wivu wa kijinga, unazaa chuki za kijinga! Chuki za kijinga zinakufanya uwaze kama mchawi kwa sababu yule uliye na chuki nae hutaki uone anafanikiwa; na in fact, akikutwa na setbacks, unafurahi!

In turn, ukishaanza kuwaza kama mchawi, ndo ushirkina wenyewe ndo unapoanzia hapo!! Ndo pale unakuta mtu anaenda kwa mganga sio ili "afanikiwe" bali ili fulani "asifanikiwe"!

Uzuri ni kwamba, hakuna uchawi wa kumfanya mtu eti afanikiwe!! Eti mtu anaenda kuroga ili duka lake apate wateja! Kwanini duka lako usiweke mavi halafu ukaroge ili upate wateja!!

Mtu na akili zako unaroga eti ili mgodi utowe madini... stupid! Kwanini basi usiroge halafu uende ukachimbe pale Kunduchi ili upate Tanzanite!

Yaani mtu ameenda chini meta mia kadhaa, lakini wengine wanashindwa kuona hizi juhudi za kuchimba mita mia kadhaa chini halafu wanaamini eti kafara!
 
Hapo watakuambia mnafiki tu huyo! Yaani kwao mtu akionesha huzuni "ni mnafiki" na akijikaza aonekane normal "hajaumizwa na msiba"! Na of course hizo video zipo na wala usidhani hawajaziona!
Sasa Kwa nn wasiseme kama kuna harufu ya hzo mambo , tale ye mwenyewe kashasema ni mshirikina , iweje pia bint mbichi kama huyo afe out of accident, HIV au pandemic disease , ambapo Kwa nchi za kiafrica janga linalofuata Kwa kuua vijana ni ushirikiana na kutoana makafara.....inawezekana kwel hajafanya lakn maelezo yake before yanachangiza pia kuweka doubt , we utasemaje n mshirikina alaf watu wakuache kwenye kifo cha utata kama hiki at the same time unaenda kugombea ubunge ambapo huko ushirikina na uchawi ni highly recommended...
 
Mtu ambae alikufa kifo cha ajabu ni Abdul Bonge peke yake, na kimsingi wala hakikuwa kifo cha ajabu zaidi tu ya kuwa hakikutarajiwa!

Siku ya siku Abdul Bonge alienda kuamulia ugomvi wa mtu na mke wake, na alienda kufanya hivyo baada ya kuombwa! Sasa kama ujuavyo mtiti ugomvi wa watu waliopandwa na jazba, kufika pale Abdul Bonge akasukumwa na mume, na kwa bahati mbaya akaenda hadi chini kwa kujibamiza kichwa!

In short, kifo cha Abdul Bonge wala hakina tofauti na kifo cha Kanumba.

Sasa watu wanazungumzia suala la "vifo" kwa sababu kifo cha Abdul kiliongozana na kifo cha baba yao... nadhani kulikuwa na gap la less than 3 months!

Pia katika wimbo wa Kazi yake Mola WA Madee wale wote ni familia ya Babu Tale. Jamaa kapata mitihani mikubwa Sana. Kupoteza watu wengi kiasi hicho ndani ya muda mfupi sio Jambo rahisi
 
Sasa Kwa nn wasiseme kama kuna harufu ya hzo mambo , tale ye mwenyewe kashasema ni mshirikina , iweje pia bint mbichi kama huyo afe out of accident, HIV au pandemic disease , ambapo Kwa nchi za kiafrica janga linalofuata Kwa kuua vijana ni ushirikiana na kutoana makafara.....inawezekana kwel hajafanya lakn maelezo yake before yanachangiza pia kuweka doubt , we utasemaje n mshirikina alaf watu wakuache kwenye kifo cha utata kama hiki at the same time unaenda kugombea ubunge ambapo huko ushirikina na uchawi ni highly recommended...
Kwahiyo kila kijana anaekufa anakuwa amekufa kwa ushirikiana Kama hajafa kwa HIV, accident au pandemic disease!... Basi hii nchi ina vijana wa hovyo wenye akili fupi sana.
 
Sasa Kwa nn wasiseme kama kuna harufu ya hzo mambo , tale ye mwenyewe kashasema ni mshirikina , iweje pia bint mbichi kama huyo afe out of accident, HIV au pandemic disease , ambapo Kwa nchi za kiafrica janga linalofuata Kwa kuua vijana ni ushirikiana na kutoana makafara.....inawezekana kwel hajafanya lakn maelezo yake before yanachangiza pia kuweka doubt , we utasemaje n mshirikina alaf watu wakuache kwenye kifo cha utata kama hiki at the same time unaenda kugombea ubunge ambapo huko ushirikina na uchawi ni highly recommended...
Same argument... "hata mwenyewe amewahi kukiri ni mshirikina!" Si bora mngesema amewahi kubambwa kwa Sangoma! Kumbe anasema mwenyewe!! Hivi kuna mtu anayependa afahamike kwamba yeye ni mshirikina?! Btw, ni wangapi wanafanya ushirikina Tanzania hii?! Ni Wasanii wangapi wamewahi kukiri kufanya ushirikina?!

Waislamu kwa mfano, wanaamini hakuna awaye yote mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu chochote isipokuwa Mungu peke yake! Na Wakristo ndivyo wanavyoamini!

Kinyume chake, lile suala la kwenda kwa mganga tu eti ili mambo yaende vizuri, tayari huo ni ushirikina!

Je, kuna wangapi wanaenda kwa waganga ili eti wapate kazi! Mara sijui biashara ziende vizuri! Ina maana wote hao wana uwezo wa kuua watu? Hivi ni nyumba ngapi zinatokea misiba, na bado wanafamilia wameshawahi kufanya ushirikina na wenyewe kwa wenyewe wanajua yule ameshawahi kwenda kwa mganga; yule ameshawahi... je, huko kunapotokea vifo wanahusisha wale walionda kwa waganga ndio wameua?!

Na ukweli ni kwamba, haya madai kwamba eti aliwahi kukiri ni visingizio tu ili wahalalishe madai yao, ambayo kimsingi yametaliwa tu na chuki, ushabiki wa Mond vs Kiba; na wengine ni kweli hivyo ndiyo maisha waliyokulia... ya kuamini sana mambo ya ushirikina!!!

Fuatilia tu posts za watu waliokomaa na suala la Tale kumuua mke wake kama hujaona ni mashabiki wa Kiba!!! Mashabiki ambao hata wakati Hawa wa Nitarejea amepelekwa India, nadhani walikuwa wanatamani arudi kwenye sanduku ili waongee haya haya wanayoongea hapa!!!

Kwenye post zangu za mwanzo nimetoa mfano wa mmoja wao ambao baada ya Darrasa kupata ajali ya ajali, with confidence akasema ni kazi ya WBC hiyo... na ndo huyo huyo alieanza na habari za Tale kumuua mke wake kwenye huu uzi!!

Anyway, swali langu ndo lile lile! Wabongo wanavyoendekeza ushirikina; na kama ushirikina ingekuwa ndo kuua mtu angebaki nani?!

Btw, umejuaje kwamba Shammy alikuwa haumwi?! Au ulitaka wawe wana-post instagram?! Hata alivyolaza na kuwekwa ICU uliona wame-post?!

Itoshe tu kusema kwamba kifo cha Shammy sio cha ghafla kama watu wanavyoamini! Ameanza kuumwa muda sasa lakini ugonjwa wake haukuwekwa Instagram ambako Wabongo ndiko tunatolea conclusion zetu!

Na kwa akili za Wabongo, hata kama angekufa kwa ajali kama unavyosema bado wangesema amerogwa kwa kutegeshewa ajali! Hata kama angekufa kwa COVID-19 bado watu wangesema amerogwa kwa kutegeshewa COVID-19!
 
Back
Top Bottom