cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Mimi za kuambiwa huwa na chaganya na zangu, Mimi mgumu kuamini Mambo kizembeUtaishia kudanganywa tu. Namie nipo mdadisi ila naangalia udadisi wa kitu gani. Hakuna kitu utaambulia hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi za kuambiwa huwa na chaganya na zangu, Mimi mgumu kuamini Mambo kizembeUtaishia kudanganywa tu. Namie nipo mdadisi ila naangalia udadisi wa kitu gani. Hakuna kitu utaambulia hapo.
Hizi mambo ni utumwa Sana tuNdio mara nyingi mwisho huwa hivyoooh
Naanza kuamini comment hii though ulipondwa sanaHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Hongera sana kwako wewe kama hujawahi kufiwa, ipo siku utaelewa kuwa VIFO na KUFILISIKA mbona ni mambo ya kawaida tu maishani. Hakuna aliye bora mbele ya Kifo, na hakiangalii Umaarufu, Pesa, Umri, jinsia, ulemavu, imani etc. Na hakiji kwa mipangilio eti kikusubiri mpaka ufikishe umri fulani au malengo fulani.Nimesikitika Sana Kuna mtu alikuwaga na mafanikio ya hivo kateketeza ndugu na kuwapoteza siku Mambo yalivo buma alifilisika mpaka leo.
Umetoa povu la bure tu bila sababu hapo hata mwaka huu nimefiwa mbona,Hongera sana kwako wewe kama hujawahi kufiwa, ipo siku utaelewa kuwa VIFO na KUFILISIKA mbona ni mambo ya kawaida tu maishani. Hakuna aliye bora mbele ya Kifo, na hakiangalii Umaarufu, Pesa, Umri, jinsia, ulemavu, imani etc. Na hakiji kwa mipangilio eti kikusubiri mpaka ufikishe umri fulani au malengo fulani.
Akili za sie watu weusi wengi wetu tunaamini kuwa ukiwa mtu maarufu au mashuhuri basi eti ndo hustahili kupata msiba. HAPANA!
Lakini ukija katika uhalisia utagundua kuwa msiba hauogopi umaarufu wala pesa. Msiba utakuja kwa kila mmoja wetu, its just a matter of time. Usimuhukumu mwenzio.
Usipime yaan, ila kwa kipindi hiki atatusua hadi tupagawe wee subiri kuona mafuriko ya utajiri na mali lukuki afu faster kwa haraka.Hizi mambo ni utumwa Sana tu
Comments zako mdogo wangu unaniacha hoiUmetoa povu la bure tu bila sababu hapo hata mwaka huu nimefiwa mbona,
Hafu wewe akili yako ni ya mweupe, jiamini usidharau asili yako kisa different opinions,
Enjoy ur day tchaoo
Vipi mkuu? Hujawahi kufiwa eeh?Naanza kuamini comment hii though ulipondwa sana
Kivipi zinakuacha hoiComments zako mdogo wangu unaniacha hoi
Tembelea Makete mkoani Njombe......alichofanya Tale ni kawaida sana!Vipi mkuu? Hujawahi kufiwa eeh?
Je na sie tuamini kwamba hapo ulipofika ni marehemu ndugu yako yeyote yule ndo ulimtoa kafara.?
Daah!! Watu weusi sie, kwa kweli tunastahili kutawaliwa tena.
Kuangusha Naibu waziri siyo mchezo.Naanza kuamini comment hii though ulipondwa sana
Hawajui wakinga huyu.Tembelea Makete mkoani Njombe......alichofanya Tale ni kawaida sana!
Asante sana mkuu LIKUD umetufungua macho. Natamani nipate hiyo picha nione hiyo chain maana wengine hatukuhudhuria. Huyu Taletale Mungu empige kipapai tu hana maana. Nilishaangaa umefiwa na mke una ujasiri gani wa kugombea Ubunge hata siku 3 hazijaishaKwenye msiba marehemu alipigwa " chain" wakati WA kuagwa Yani kuagwa Kwa kuzungukwa. Hii ni ishara kubwa na nzito Sana katika Uchawi. Maana yake ni kwamba hiyo chain ya kafara is unbreakable
Tarajieni kusikia mengi
KabisaaaaaaaahHawajui wakinga huyu.
Halafu babu Tale zero kichwaniKuangusha Naibu waziri siyo mchezo.
Kwani tale ni Mkinga??????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji30][emoji30]Kabisaaaaaaaah
Why tena mkuu...Jamaa ni mkinga??? Kama ni mkingaa kafanya yake aiseee...daahHalafu babu Tale zero kichwani
Vipi mkuu na wewe hujawahi kufiwa eeh!? Basi hongera. ila siku yaja ukifiwa utajua kuwa kifo kipo na hakijali Umri, Umaarufu, Cheo, Pesa, Kabila, Ethnicity, Race etc.Hawajui wakinga huyu.
Kapata kufa sasa.😝😝Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.