TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Nimesikitika Sana Kuna mtu alikuwaga na mafanikio ya hivo kateketeza ndugu na kuwapoteza siku Mambo yalivo buma alifilisika mpaka leo.
Hongera sana kwako wewe kama hujawahi kufiwa, ipo siku utaelewa kuwa VIFO na KUFILISIKA mbona ni mambo ya kawaida tu maishani. Hakuna aliye bora mbele ya Kifo, na hakiangalii Umaarufu, Pesa, Umri, jinsia, ulemavu, imani etc. Na hakiji kwa mipangilio eti kikusubiri mpaka ufikishe umri fulani au malengo fulani.
Akili za sie watu weusi wengi wetu tunaamini kuwa ukiwa mtu maarufu au mashuhuri basi eti ndo hustahili kupata msiba. HAPANA!
Lakini ukija katika uhalisia utagundua kuwa msiba hauogopi umaarufu wala pesa. Msiba utakuja kwa kila mmoja wetu, its just a matter of time. Usimuhukumu mwenzio.
 
Umetoa povu la bure tu bila sababu hapo hata mwaka huu nimefiwa mbona,
Hafu wewe akili yako ni ya mweupe, jiamini usidharau asili yako kisa different opinions,
Enjoy ur day tchaoo
 
Umetoa povu la bure tu bila sababu hapo hata mwaka huu nimefiwa mbona,
Hafu wewe akili yako ni ya mweupe, jiamini usidharau asili yako kisa different opinions,
Enjoy ur day tchaoo
Comments zako mdogo wangu unaniacha hoi
 
Naanza kuamini comment hii though ulipondwa sana
Vipi mkuu? Hujawahi kufiwa eeh?
Je na sie tuamini kwamba hapo ulipofika ni marehemu ndugu yako yeyote yule ndo ulimtoa kafara.?
Daah!! Watu weusi sie, kwa kweli tunastahili kutawaliwa tena.
 
Kwenye msiba marehemu alipigwa " chain" wakati WA kuagwa Yani kuagwa Kwa kuzungukwa. Hii ni ishara kubwa na nzito Sana katika Uchawi. Maana yake ni kwamba hiyo chain ya kafara is unbreakable

Tarajieni kusikia mengi
Asante sana mkuu LIKUD umetufungua macho. Natamani nipate hiyo picha nione hiyo chain maana wengine hatukuhudhuria. Huyu Taletale Mungu empige kipapai tu hana maana. Nilishaangaa umefiwa na mke una ujasiri gani wa kugombea Ubunge hata siku 3 hazijaisha
 
Hawajui wakinga huyu.
Vipi mkuu na wewe hujawahi kufiwa eeh!? Basi hongera. ila siku yaja ukifiwa utajua kuwa kifo kipo na hakijali Umri, Umaarufu, Cheo, Pesa, Kabila, Ethnicity, Race etc.
imagine hiyo siku umefiwa halafu unasikia kuna raia wanasema kuwa wewe ndo umemuua ndugu'ako ili ufanikiwe.
Wengi wenu humu kwa posts na replies zenu inaonesha mnaamini kuwa ukiwa Mtu Maarufu au mwenye Cheo Kikubwa, kwamba hustahili kufiwa na kupata msiba. Kinachomuhukumu Tale ni umaarufu wake na ile imani kwamba mtu maarufu hastahili kupata msiba.
Nauliza, hivi Tale ndo mtu maarufu wa kwanza kufiwa??
Pia inaonesha wengi tunaamini kuwa Mtu Kijana hafi na hastahili kufa. Daaah!! Ooohh, RAIA MNAAMINI SANA KATIKA SHIRIKI (ushirikina) kupitia replies na comments zenu tu zinajidhihirisha zenyewe.....
My point is, kifo hakijali hadhi ya mtu katika jamii wala Kabila. Vifo vinaweza kufululiza familia moja pia mpaka mtu akajiuliza Why me Lord???
Mtaani kuna Familia ilishafiwa na Watoto wao Watatu ndani ya siku Moja kwenye Ajali ya Gari... Sasa fikiria umefiwa na watoto wako watatu, hapo uko na simanzi na majonzi ya ndugu zako unaomboleza afu ghafla unalisikia Lidomo kaya fulani linasema "kafara" , Kwa mtu kama mie mwenye short temper kudadeki nakukata panga.
Jamani msilete mzaha na misiba ya watu.

Na kama unaamini kuwa msiba utakupa Mafanikio kwa Cheo na Pesa nyingi, basi watumie Marehemu Great-Grandparents zako uone kama utapata......Usiseme kuwa huwezi eti unaogopa kwa Mungu, huo ni UNAFIKI maana kuamini katika Shirki (ushirikina) kama unavyoamini kupitia hoja zako hiyo tu ni Tatizo....
KAMA KUFIWA NDO KUPATA MAFANIKIO au NYADHFA FLANI, BASI WOTE TUNGEKUWA NA MAFANIKIO.. SABABU WOTE TUTAKUFA AU KUFIWA.
by the way..... UTAJIRI, CHEO na UMAARUFU NI KAMA VILE ALAMA "A" KWA KIDATO CHA SITA KATIKA MASOMO YA ADVACED MATHEMATICS AU PHYSICS, SIO KILA MTU ATAPATA.... Kwa sababu ni vigumu kuvipata (Utajiri/Umaarufu) basi hapo ndo pale mtu flani akipata Cheo, Utajiri, Umaarufu afu ikatokea kafiwa (kapata msiba) basi jamii itaanza "Ohh kafara hiyo" tulijua tu.
 
Back
Top Bottom