Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

chadema wamekua vinara wa kusambaza uchuki za udini na ukabila huku wakichochea vitendo vya ugaidi na kijitoa mhanga kwa kulichokoza jeshi la ulinzi na usalama

uzuri watanzania wamewajua nini lengolao kua ni machafuko
 
Kama wanavunja sheria kwanini hawapelekwi Mahakamani nyie Manguchiro mnaishia kulalamika humu.
 
Mkuu maisha ni magumu, bidhaa kama sukari na nyinginezo bei iko juu, na dukani hatuendi na kadi ya ccm, ili uuziwe bidhaa kwa bei ya punguzo kwa kuwa wewe ni ccm, haya yamesababishwa na Chadema?.
Kudorora kwa uchumi ni tatizo lililoikumba dunia nzima.Sio kwa Tanzania tu na halisababishwa na chama mojawapo.Kama ni mfutiliaji wa habari za kisiasa na uchumi habari hiyo haitakuwa ngeni kwako.
 
Na iwakae akilini kwamba mkileta udini waislam wanaujua zaidi, Nyerere alinadiwa Hadi misikitini wakati wa uhuru
Wachovu nyie sema mmetukuta wakristo wa tanganyika tunawatolerate sana nyie vilaza thus why hatuangaiki na upumbavu wenu
FYI ccm haihitaji kampeni kushinda uchaguzi nadhani unafaham ilo yale aliofanya lipumbavu ilikuwa kiini macho cha demokrasia
 
Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
Ikiwa hivyo hata maoni ya Fatma Karume ni maoni yake binafsi sasa povu la nini!
 
Kudorora kwa uchumi ni tatizo lililoikumba dunia nzima.Sio kwa Tanzania tu na halisababishwa na chama mojawapo.Kama ni mfutiliaji wa habari za kisiasa na uchumi habari hiyo haitakuwa ngeni kwako.
Ukosekanaji wa sukari Tanzanzania ni mdororo wa uchumi duniani?.
 
Ukosekanaji wa sukari Tanzanzania ni ukosefu wa nini?.
Sababu zimeshatolewa na hatua za kurekebisha hali hiyo zimeshachukuliwa.Kukaa pembeni na kulaumu na kukosoa hakuhitaji akili kubwa ni jambo rahisi sana.
 
Shangazi Mpendwa tunaomba ufafanuzi kwenye hii Tweet yako.
 
CCM miaka yote imekua ikiiona Chadema kama chuo cha uongozi, ndiko CCM inakopata viongozi wake na kama unabisha weka ushahidi wa viongozi waliotoka vyama vingine.
 
Wewe uko sahihi hao wengine ni mihemko tu wameshadadia bila ata kujua msingi wa hoja ulipoanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudorora kwa uchumi ni tatizo lililoikumba dunia nzima.Sio kwa Tanzania tu na halisababishwa na chama mojawapo.Kama ni mfutiliaji wa habari za kisiasa na uchumi habari hiyo haitakuwa ngeni kwako.

Sababu zimeshatolewa na hatua za kurekebisha hali hiyo zimeshachukuliwa.Kukaa pembeni na kulaumu na kukosoa hakuhitaji akili kubwa ni jambo rahisi sana.
Viongozi wako wa ccm na serikali sio raia, tena wa ngazi za juu za maamuzi, ndio mnatuletea udini hapa nchini kwetu Tanzania ili muendelee kututawala?.
 
Viongozi wako wa ccm na serikali sio raia, tena wa ngazi ya juu za maamuzi, ndio mnatuletea udini hapa nchini kwetu Tanzania ili muendelee kututawala?.
Umeshageuza mada imekuwa udini?You can better that this. Tena sijui ni swali au tamko?
 
Ni vigumu kutenganisha chadema na ukiristo angalia viongozi wote wa ngazi za juu
 
Hayo ya umeme ungeyasema wewe.Au uko kibarazani umejitanda msuli unataka usemewe kila kitu.Wote waliosema hayo walikosea sasa usitake kuhalalisha ujinga kwa hoja yakijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…