Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

Dawa ya hii mishangazi ni tizi la kutosha, msosi wa maana, maji ya kutosha, na usiwe na stress hapo kichwani then unaingia kwenye mtanange lazima akuheshimu la sivyo ni fedheha kama hizi

NB: Mazoezi muhimu hasa squat na push up.. kudharauliwa na mwanamke 6 kwa 6 ni zaidi ya fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…