Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

Sasa hv sili mashangazi tuu najikuta nakula wamama ambao wanahisi wanakosa amani katika ndoa zao...

Samahani lakini sipo hapa kukashifu mtu...
Kuna watu watasema na mimi nikioa mke wangu sijui nini na nini...

Oky mimi sioi kama mtoto tayari ninae yupo kwa maza Binti wa zamani
Mi ni kula tuu mpaka nikipumzika nimepumzika..

Ngoja nendelee kujipakulia hapa safi
 
Umesema ukweli tupu, lazima uwe fiti kweli.
Ukija na shoo mbovu lazima uondoke na fedheha!
 
Mwanangu nilichoka tu ulivyokula mke wa mganga, aiseeeh una balaa wewe 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…