Shangwe zatanda baada ya Trump kumteua, rafiki wa Netanyahu Mike Huckabee kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel

Fanya utafiti wako upya. Wayahudi ambao ni Wakristo wapo, japokuwa ni wachache.
 
Kuna mbona hapo kwenye mwarabu hujasema Kuna mwarabu dini?
 
Trump ni mgerman sio myahudi na hajawahi kuwa myahudi labda anaweza kuwa myahudi Kwa maslahi ya kisiasa tu
Trump siyo myahudi bali mtoto wake ni orthodox jew, na marafiki zake na washauri wake wa karibu sana ni jews.

Semitic supporters and even a tone-deaf enthusiasm for some of their iconography. At the same time, Trump is the father of an Orthodox Jew and counts Jews among his closest advisers and supporters. Few other serious presidential candidates have had as up-close or as personal an experience with Jews or Judaism.
 
Sasa kwanini watu wanataka kupotosha Kwa hii propaganda?
 
Guys Wayahudi Wakristo wapo wengi sana, wengine wapo hapa hapa bongo (hili la bongo tutabishana, niachane nalo kwanza ) tafuteni wahubiri wafuatao (wengine wameisha kuja hata Tanzanian) Morris Cellulo, mtafute hapa wŵw.mcwe.com halafu kuna Benny Hinn, kuna Richard Wambrand wapo wengi tu; hawa wote ni raia wa Marekani
 
Hawatafanikiwa,
 
Naona netanyau kila siku anapoteza umaarufu ni zamu ya Trump xx
 
Let us say,,,,
USA amsaidie Israel,,,,, waue wa Palestine woooteeee hadi Vitoto vichanga dunia itapata hasara gani??? Au faida gani???
Duniani tunaoshi kwa unafiki na uongo uongo,,,, angalau Trump Hana elements za uongo na unafiki,,,, akikupemda anakupenda kweli na akikuchukia anakuchukia kweli,,,
 
Lakini sio Trump Toka awali Trump asili yake ilitambulika kama German ila Kwa maslahi ambayo wanayajua wanamnasibisha na uyahudi.

Cha pili uyahudi ni Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…