Shangwe zatanda baada ya Trump kumteua, rafiki wa Netanyahu Mike Huckabee kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel

Shangwe zatanda baada ya Trump kumteua, rafiki wa Netanyahu Mike Huckabee kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel

Sio kweli ni kawaida ya wayahudi kumnasibisha kila aleyetoboa na uyahudi walijaribu Kwa Bilgate Hadi wakawa wanatengeneza picha fake na Microsoft headquarter zikiwa na bendera Yao wakafeli wakajaribu Kwa Elon musk wakafeli Toka lini myahudi awe mristo?
Fanya utafiti wako upya. Wayahudi ambao ni Wakristo wapo, japokuwa ni wachache.
 
Kuna uyahudi dini na kuna uyahudi asili ya mtu ,kama ukisema mwarabu....kuna wayahudi wa asili tokana na kuzaliwa ila hawafati dini ya kiyahudi,,,,na kuna wayahudi wa dini japo asili sio ya myahudi hawa wengi ndo hao wanaitwa ma Zionists( wengi ni wazungu tu wasio na asili ya uyahudi ila waliamua kuifata dini ya uyahudi)
Kuna mbona hapo kwenye mwarabu hujasema Kuna mwarabu dini?
 
Trump ni mgerman sio myahudi na hajawahi kuwa myahudi labda anaweza kuwa myahudi Kwa maslahi ya kisiasa tu
Trump siyo myahudi bali mtoto wake ni orthodox jew, na marafiki zake na washauri wake wa karibu sana ni jews.

Semitic supporters and even a tone-deaf enthusiasm for some of their iconography. At the same time, Trump is the father of an Orthodox Jew and counts Jews among his closest advisers and supporters. Few other serious presidential candidates have had as up-close or as personal an experience with Jews or Judaism.
 
Sasa kwanini watu wanataka kupotosha Kwa hii propaganda?
 
Sio kweli ni kawaida ya wayahudi kumnasibisha kila aleyetoboa na uyahudi walijaribu Kwa Bilgate Hadi wakawa wanatengeneza picha fake na Microsoft headquarter zikiwa na bendera Yao wakafeli wakajaribu Kwa Elon musk wakafeli Toka lini myahudi awe mristo?
Guys Wayahudi Wakristo wapo wengi sana, wengine wapo hapa hapa bongo (hili la bongo tutabishana, niachane nalo kwanza ) tafuteni wahubiri wafuatao (wengine wameisha kuja hata Tanzanian) Morris Cellulo, mtafute hapa wŵw.mcwe.com halafu kuna Benny Hinn, kuna Richard Wambrand wapo wengi tu; hawa wote ni raia wa Marekani
 
Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel.Trump amesema Mike anaipenda Israel na watu wa Israel

Huyu Mzee ni MYAHUDI pure MTU ambaye anaichukia Palestine kwelikweli anaenda kuiwakilisha marekani, huu ni uteuzi wa Kwanza kabisa WA kibalozi yaani Israel ndiyo nchi ya Kwanza iliyopewa kipaumbele na marekani Kwa kupewa zawadi ya BALOZI alafu nchi nyingine zitafuata.

Toka Jana kumekuwa na shangwe kuanzia viongozi wa Israel Hadi wananchi Kwa ujio wa huyu master wa kuuwa wapalestina...Kwa mbali naona Gaza inaenda kufanywa makazi mapya ya wayahudi

Acha tusubiri tuone itakuaje

Hawatafanikiwa,
 
Naona netanyau kila siku anapoteza umaarufu ni zamu ya Trump xx
 
Let us say,,,,
USA amsaidie Israel,,,,, waue wa Palestine woooteeee hadi Vitoto vichanga dunia itapata hasara gani??? Au faida gani???
Duniani tunaoshi kwa unafiki na uongo uongo,,,, angalau Trump Hana elements za uongo na unafiki,,,, akikupemda anakupenda kweli na akikuchukia anakuchukia kweli,,,
 
Guys Wayahudi Wakristo wapo wengi sana, wengine wapo hapa hapa bongo (hili la bongo tutabishana, niachane nalo kwanza ) tafuteni wahubiri wafuatao (wengine wameisha kuja hata Tanzanian) Morris Cellulo, mtafute hapa wŵw.mcwe.com halafu kuna Benny Hinn, kuna Richard Wambrand wapo wengi tu; hawa wote ni raia wa Marekani
Lakini sio Trump Toka awali Trump asili yake ilitambulika kama German ila Kwa maslahi ambayo wanayajua wanamnasibisha na uyahudi.

Cha pili uyahudi ni Nini?
 
Back
Top Bottom