Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Punguzu negative outlook ya all commercial or economic decisions made by either Government or Parastatals.Nahisi kitu kama hicho ukiangalia yule CEO wao mzungu mmama naskia kuna fitna fulani ilifanywa.
Katika maisha ukiangalia chini tuu, utafikiria kuchimba na kwenda chini mnoo bila kuona kizuri .
Na ukifikiri na kuona mamba with pessimistic mind itakusaidia kuona ya juu na mema, na pia mabaya ya chini in the same vain.