Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah, kumbe unazungumzia "serikali, 'specific'" hii ya Tanzania? Nilidhani unazungumzia "nadharia" kwa ujumla wake, kwamba serikali zote duniani hazitakiwi...Inawezekana kweli nimekariri kama ulivyosema, lakini ni lini na wapi serikali imewahi kujiingiza kwenye biashara ikafanikiwa? kuna mifano mingi tu serikali ilipojaribu kuingia ilianguakia pua
Mfano korosho, serikali iliingia kichwakichwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa matokeo yake mpaka leo kuna wakulima hawajalipwa hela ya korosho na mbaya zaidi TISS haitumiki ipasavyo kufanya ujajususi wa kiuchumi ipo busy kuwasaka wapinzani.
Lakini kama serikali atakuwa regulator atakuwa amejipunguzia mzigo wa kupambana na changamoto za kibiashara, kazi yake kubwa itakuwa ni kuhakikisha kila upande unanufaika.
Kuna watu ni vilaza mkuu.. yaani wanadhani sijui serikali ni MunguKwani wapi nimeandika serikali isisimamie benki?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Unaelewa tofauti ya serikali kusimamia benki na serikali kuingilia kisiasa benki?
Ndo tatizo nnaloliona linakuja, serikali siku zote nawaona kama wachafuaji wa mabenki.Benki zinaingiliwa sana kisiasa na serikali.
Watu waliozoea kufanya kazi kwa principles za banking integrity wanakuwa na wakati mgumu wa ku uphold banking integrity halafu kuwa na mahusiano mazuri na serikali.
Uamuzi mzuri wa kimantiki ni kujiondoa katika market hiyo.
Sisemi kwamba hiki ndicho kilichotokea, ila dalili zote za miaka ya hivi karibuni zinaonesha kuwa this is highly likely.
well written and well stipulated. endelea kuwaelimisha hawa MATAGA mkuuSerikali atabaki kama mkubwa itsaidia nini wakati hana capital to inject?
Shareholder ni injection ya capital sio kushika mashare kama karatasi mzee!
Rabobank ana mtaji wa maana kupita maelezo ndio alikua ana inject serious money in there kuifanya ifanye biashara vizuri
Nna wasiwasi huo.. kwamba labda serikali wameshauri NMB wa buy back kitu ambacho kitawafanya wawe main shareholder. Ngoja tuzidi kuchimbaKwa vyovyote vile itakua ni buy back ya Treasure registrar kwa sababu kumbuka MD wa sasa pamoja na mwenyekit wa board wote wametoka upande wa Tanzania. Hii transformation ilitoa signal kua sasa shareholder mkubwa ni serikali.
we need to get more serious linapokuja suala la financial services industry. Hatuwezi kuwa wajinga na kukubali upuuzi wa MATAGA kutaka kila njia ya uchumi imilikiwe na serikali.Hii Nmb ilikuwa benk benk ndogo kabisa
Ilianzishwa baada ya shinikizo kufuatia kuuzwa NBC..
Hawa wa Dutch ndo wameikuza hadi imekuwa Bank kubwa kuliko zote TZ..
Wenye akili za sisimizi ndo watafurahia kuondoka hawa wazungu
Hii habari ya 2016 mkuu sahiv ni 2020Watu wataipita kama hawaioni kwa sbb ya lugha. watajadili weee wakati jibu liko hapa ni kupigia mstari tu
Sio wao walioifanya iwe kubwa.Jiulize ilianzaje kuwa kubwa bila hao investor wa foreign? Yaani wameshatengeneza mambo yamekaa vizur ndo mnawaona hawana maana??
Vipi mkuu branch ya mwenge imefungwa?BOA wamefunga tawi la Mbezi ya Kimara na Mwenge
Sio tu imefungwa!! na pale wamebomoa....Vipi mkuu branch ya mwenge imefungwa?
Kwa vyovyote vile itakua ni buy back ya Treasure registrar kwa sababu kumbuka MD wa sasa pamoja na mwenyekit wa board wote wametoka upande wa Tanzania. Hii transformation ilitoa signal kua sasa shareholder mkubwa ni serikali.
SME and Corporate loans ndo zinaendesha bank na kuchangia uchumi wa nchi.Mikopo ya employees ni small contribution. Kumbuka pia SME and Corporate investment isn't working hta employment rate inakua down which leads low rate ya kupata employees wa kukopesha.Share mkubwa akiwa serikali riba ya mikopo itashuka hapo watumishi tutakopa vizuri au sio?
Dua za malaika mbaya daima hazitatufikia!!!!!Zimbabwe is loading.....