Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Kwa vyovyote vile itakua ni buy back ya Treasure registrar kwa sababu kumbuka MD wa sasa pamoja na mwenyekit wa board wote wametoka upande wa Tanzania. Hii transformation ilitoa signal kua sasa shareholder mkubwa ni serikali.
 
Inawezekana kweli nimekariri kama ulivyosema, lakini ni lini na wapi serikali imewahi kujiingiza kwenye biashara ikafanikiwa? kuna mifano mingi tu serikali ilipojaribu kuingia ilianguakia pua

Mfano korosho, serikali iliingia kichwakichwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa matokeo yake mpaka leo kuna wakulima hawajalipwa hela ya korosho na mbaya zaidi TISS haitumiki ipasavyo kufanya ujajususi wa kiuchumi ipo busy kuwasaka wapinzani.

Lakini kama serikali atakuwa regulator atakuwa amejipunguzia mzigo wa kupambana na changamoto za kibiashara, kazi yake kubwa itakuwa ni kuhakikisha kila upande unanufaika.
Aaaah, kumbe unazungumzia "serikali, 'specific'" hii ya Tanzania? Nilidhani unazungumzia "nadharia" kwa ujumla wake, kwamba serikali zote duniani hazitakiwi...

Kushindwa kwa serikali ya Tanzania kufanikisha kama hayo uliyoyataja, ni kwa sababu ya 'ineptitudeness' ya serikali hiyo, pamoja na waajiri inaowaweka kufanya kazi hiyo.
Kwani mkuu, hata huko kwenye mashirika binafsi hakuna yanayofilisika na kufa kabisa?

Tunachozungumzia hapa ni hiyo dhana ya 'kiujumla jumla' inayosema serikali haitakiwi kabisa kusimamia na kuendesha baadhi ya miradi muhimu kwa maslahi ya nchi; kwa mfano mashirika kama Tanesco, na mengineyo. Kushindwa kufanya hivyo ni kwa sababu ya ubovu wa uongozi kwenye mashirika hayo, na siyo lazima kwamba hayafanikiwi kwa vile tu yanaendeshwa na serikali.

Nimetoa mifano mashirika ya Kampuni za KiChina zinazofanya shughuli zake duniani kote. Halotel wa Vietnam wapo hapa wanapambana, lakini hatusemi wameshindwa mapambano kwa vile wana mahusiano na serikali za nchini kwao.
 
Tuko vizuri ! Wapinzani ndio walituchelewesha au Nadanganya ndugu zangu?
 
Kwani wapi nimeandika serikali isisimamie benki?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa tofauti ya serikali kusimamia benki na serikali kuingilia kisiasa benki?
Kuna watu ni vilaza mkuu.. yaani wanadhani sijui serikali ni Mungu
 
Benki zinaingiliwa sana kisiasa na serikali.

Watu waliozoea kufanya kazi kwa principles za banking integrity wanakuwa na wakati mgumu wa ku uphold banking integrity halafu kuwa na mahusiano mazuri na serikali.

Uamuzi mzuri wa kimantiki ni kujiondoa katika market hiyo.

Sisemi kwamba hiki ndicho kilichotokea, ila dalili zote za miaka ya hivi karibuni zinaonesha kuwa this is highly likely.
Ndo tatizo nnaloliona linakuja, serikali siku zote nawaona kama wachafuaji wa mabenki.

Watu hawajiulizi TIB ilikufa kwa sababu gani? Nnachokiona hapa serikali walikuwa wanatafuta ushawishi kwenye hizi benki kubwa kama NMB na CRDB ili wawatumie ku finance baadhi ya projects za ndani. Lakini matokeo yake nadhani yatakuwa ni mabovu maana lazima kuwe na mikopo chechefu yakutosha
 
Serikali atabaki kama mkubwa itsaidia nini wakati hana capital to inject?

Shareholder ni injection ya capital sio kushika mashare kama karatasi mzee!

Rabobank ana mtaji wa maana kupita maelezo ndio alikua ana inject serious money in there kuifanya ifanye biashara vizuri
well written and well stipulated. endelea kuwaelimisha hawa MATAGA mkuu
 
Kwa vyovyote vile itakua ni buy back ya Treasure registrar kwa sababu kumbuka MD wa sasa pamoja na mwenyekit wa board wote wametoka upande wa Tanzania. Hii transformation ilitoa signal kua sasa shareholder mkubwa ni serikali.
Nna wasiwasi huo.. kwamba labda serikali wameshauri NMB wa buy back kitu ambacho kitawafanya wawe main shareholder. Ngoja tuzidi kuchimba
 
Hii Nmb ilikuwa benk benk ndogo kabisa
Ilianzishwa baada ya shinikizo kufuatia kuuzwa NBC..
Hawa wa Dutch ndo wameikuza hadi imekuwa Bank kubwa kuliko zote TZ..
Wenye akili za sisimizi ndo watafurahia kuondoka hawa wazungu
we need to get more serious linapokuja suala la financial services industry. Hatuwezi kuwa wajinga na kukubali upuuzi wa MATAGA kutaka kila njia ya uchumi imilikiwe na serikali.
Umeandika vizuri sana mkuu. Blessings
 
Jiulize ilianzaje kuwa kubwa bila hao investor wa foreign? Yaani wameshatengeneza mambo yamekaa vizur ndo mnawaona hawana maana??
Sio wao walioifanya iwe kubwa.
Hii ni benki ya Kitanzania iliyomegwa kutoka NBC mwaka 1997. Tukaiendesha wenyewe mpaka 2005, tukauza nusu ya umiliki. Hapo tukiwa tayari tumetambaa nchi nzima. Rabobank hawakujenga NMB from scratch.

Lakini kama wageni ndio wanaweza sana kuunda mabenki, ni kwa nini benki zao hazijawa kama CRDB na NMB ?

Barclays, Citibank, Bank M, EXIM, KBC, STANBIC, BOA, FNB, DTB,FBME, Bank of India....

Kwa nini hazijakomaa kama zilivyo legacy banks zetu za asili?
 
Amezinunua Arise Foundation..ambao ni wa Dutch hao hao..Arise is comprised of Norfund(Norwegian Investment fund),FMO(a Dutch development bank) and Rabobank
 
Share mkubwa akiwa serikali riba ya mikopo itashuka hapo watumishi tutakopa vizuri au sio?
Kwa vyovyote vile itakua ni buy back ya Treasure registrar kwa sababu kumbuka MD wa sasa pamoja na mwenyekit wa board wote wametoka upande wa Tanzania. Hii transformation ilitoa signal kua sasa shareholder mkubwa ni serikali.
 
Share mkubwa akiwa serikali riba ya mikopo itashuka hapo watumishi tutakopa vizuri au sio?
SME and Corporate loans ndo zinaendesha bank na kuchangia uchumi wa nchi.Mikopo ya employees ni small contribution. Kumbuka pia SME and Corporate investment isn't working hta employment rate inakua down which leads low rate ya kupata employees wa kukopesha.

Sent from my SM-G6000 using JamiiForums mobile app
 
Zimbabwe is loading.....
Dua za malaika mbaya daima hazitatufikia!!!!!

kama ilivyotokea kwa PASAKA, ambapo damu ilipakwa milangoni mwa wana wa Israel, ndivyo ambavyo mapigo yataiepuka TANZANIA

NB: kwa wasiojua maana yake wachukue COVID19 kama funzo kwao!

TANZANIA IMEAMUA KUMTEGEMEA MUNGU APONYAYE!!!

kazi kwenu wawakilishi wa kuiombea na wabashiri mabaya kwa Tanzania
 
Amegoma kupelekeshwa Kama yule aliyepelekeshwa akapewa ahadi ya ubunge akitegemea uwaziri wa fedha akapewa ubunge uwaziri akatoswa.
Wazungu Wanasimamia Sana sheria na ukweli na haki na sio Kuusujudia masanamu.
 
Back
Top Bottom