Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Bado kuweka Masai wakuzunguka na ng’ombe wakamilishe zoezi au waweke Bedui wakuzunguka na mbuzi na ngamia humo ndani (Hila sidhani kama Bedui watauweza mziki wa Simba akivamia mifugo).

On a serious note, hizo mbuga za kutengeneza aziwezishindana na vitu asili, watanzania acheni uoga.
 
mtoa mada acha upumbavu iyo ni zoo kama zilivyo zoo nyengine na haitaathiri chochote Kwenye utalii wetu zaidi ndio watazidi kututangaza.
Mpumbavu ni wew unayetokea ukoo wa wapumbavu
 
Kuna vitu waarabu na wazungu watafanya lakini hawatakaa wafanikiwe. Mojawapo ni hiyo kutaka kuweka mbuga ya wanyama Dubai. Yaani inabidi wahakikishe hadi majira ya mwaka ya Ngorongoro na Serengeti wanahamishia huko. Wameamua tu kujidanganya.
 
Huyo fisi ni lini uliongea nae
 
Tuendelee kusubiria CCM wstuletee mgombea au siyo?
Nchi imefikia pabaya
 
Biashara ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…