Ataelewa wapi wakati chuki za kidini zimewatawala?!!! Hamna kitu hapo ni chuki tu za dini. Wala hawezi kuongea lolote kuhusu zoo ulaya na maeekaniKuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.
Kweli wazungu sio mbumbumbu kama sisi wao wanataka vitu vya muonekano na mazingira ya asili sio ya kutengeneza !! Hiyo Zoo wataenda waarabu wenzao wasioweza kusafiri !!Kuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.
Na bado, mtamaliza maneno yote ya kwenye kanga....Baada ya kusema hayo akapita katikati yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mitazamo ya namna hii ndio maana Kweli Ccm itatawala miaka mingi sana ijayo !!Ufisadi wenye nasaba na uarabuni umetamalaki awamu hii, kama ilivyokuwa awamu ya 4!
Kwamba Lisu ana uhusiaono na Kinana?Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Huo ndio ujaja wako? Huu ni ujinga wa kiwango cha juu ba kwa akili zako za kidada unaona uko sawa?Na hili nalo mkalitizame.
Akapanda ndege akaenda zake
qumanyokooHiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Lisu ndo aliwapakiza hao wanyama kutoka TZ kwenye UAE?Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Hapo na bado, Arusha na yenyewe itakuwa kwa waarabu muda si mrefuHiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Ulicho kiandika tukikuwekea beat unakua hadija kopaHuo ndio ujaja wako? Huu ni ujinga wa kiwango cha juu ba kwa akili zako za kidada unaona uko sawa?
Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
CDM wanahusika katika hili, hii haikubaliki!!Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Unahisi fisi ana utambuzi wa kujua kuwa hapa ni mbugani hapa nipo zoo?Pamoja na yote,wataiga lakini hawataweza, Mungu si mjinga kama wao, hata waige vipi mbuga zetu zitabaki kuwa juu, fisi anafurahi zaidi kula mizoga akiwa kwenye mbuga zetu za asili kuliko hizo za kutengeneza, na watalii watazidi kuja tu huku bongo. wawahamishe basi na wahazadbe na wamasai