Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Rekebisha usemi wako
waarabu wanauaje mbuga zetu bila sisi kuhusika
 
Lawama zote kwa Mzee Mwinyi Rais wa awamu ya pili,
 
So long as kama wananunua kwa kufuata taratibu na kulipia as well as kulipia Hati Miliki n.k. ya kutumia brand zetu hakuna neno..., na sio kulipa tu, bali wanalipa nchi na sio mwananchi fulani
 
Tusiishie kulaumu na sis tujenge dubai yetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Dah! Siamini haya! Ila nitaandika Makala yenye ukweli kuitia hasara project hii!
 
Ataelewa wapi wakati chuki za kidini zimewatawala?!!! Hamna kitu hapo ni chuki tu za dini. Wala hawezi kuongea lolote kuhusu zoo ulaya na maeekani
Nyie watu muda wote huwa mnahisi mnaonewa. Ukimuongelea mwaarabu hapo anajua umeshaongelea dini fulani.
Hii ndiyo athari ya mtoto kumpeleka madrasa badala ya shule. Shule inasaidia sana
 
Ataelewa wapi wakati chuki za kidini zimewatawala?!!! Hamna kitu hapo ni chuki tu za dini. Wala hawezi kuongea lolote kuhusu zoo ulaya na maeekani
hakika kabisa, kuna mazoo makubwa makubwa yana kila aina ya wanyama nchi nyingi za ulaya lakini hakuna anayekuja humu kulalamika. Leo dubai ndiyo imekuwa nongwa.

Kuna ambao hawawezi kufika huku Tz na watakwenda kuona hao wanyama huko makwao na kuna wale ambao lazima wawaone kwenye mazingira yao ya asili watakuja kwetu. Mbona hatusikii Kenya wakilalamika ni sisi tu?
 
Akili Huna kabisa hata kidogo
 
Usitishwe na hizo serengeti artificial mtalii akitaka kuiona serengeti original ataitafuta na atakuja tu. Hao tuwashukuru wanatutangazia soko la utalii
 
Do gvt really care ..?
Wewe ulitaka wafanyeje? Tuanzie hapo. Je wawazuie wasianzishe hiyo artificial Park ama? Vijana Bwana, mmekuwa wepesi wa kutoa lawama kiholelaholela.
 
Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Acha upumbavu wewe ccm mnawafukuza Wamasai Loliondo ili kujichukulia urithi wao waliopewa na Mungu na kuupeleka kwenye nchi za Waarabu kwa kisingizio cha Maendeleo,mkikwama lawama mnapeleka kwa Lisu na Mbowe ambao hawajahusika kwa jambo lolote kwa vile mlishajua Watanzania wengi ni mbu mbu mbu basi wataendelea kuamini unafiki wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…