TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Yale magazeti "pendwa" yataanza kuandika tetesi zisizokuwa na maana kuhusiana na hiki kifo.
 
kama kumbu kumbu zangu ziko vizuri sharo anakuwa msanii wa tatu kufariki akiwa anafanya kazi karibu na mzee majuto........anyway rip sharo!



hizi ndizo tunaita idea za gizani

kina nani hao wengne?wataje basi

na nia yako ni nin hasa??
 
R.i.p sharo! Binti yangu mdogo atakumiss daima walivyokuwa wanapenda matangazo yako hata kama kanasinzia kasikia "umebugi meen" ataamka tu.
 
hizi ndizo tunaita idea za gizani

kina nani hao wengne?wataje basi

na nia yako ni nin hasa??
Wameshaanza tetesi zao, na wale wa magazeti "Pendwa" wakiona komenti kama hiyo wanaibeba kama ilivyo.
 
RIP Sharo..at least you gave a new breath into our comedy scene...!
 
Hii ni habari ya kusikitisha mno...

"Innallillah wa innallillah rajyun"
 
wameshaanza tetesi zao, na wale wa magazeti "pendwa" wakiona komenti kama hiyo wanaibeba kama ilivyo.


sure katavi,,hawa jamaa kazi sana

kila sehem wao hutanguliza ushirikina mbele

kifo kimeumbiwa mwana wa adam,kila mtu ana wakati wake maalum uliokadiriwa..sasa kwanin anapofikwa na wakati wake na kuondoka ulimwenguni tuanze kusahau kudra za mungu na kukimbilia moja kwa moja kwenye ushirikina??

Hatukatai kwamba misukule ipo,lakini ni unyonge kila siku kuiaminisha akili yetu katika upande huo

sisi ni viumbe wa mungu
 
Kuna watu mna mambo ya ajabu sana mna like taarifa za msiba huu ni USHAMBAA
 
Back
Top Bottom