Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe

Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili

Vijana mnakwama wapi 🤗
 
Hiyo bila shaka ilikuwa mwaka 47, heri ya mwaka mpya babu.
 
Hahaha........mambo ya Mwaka 47 hayo

Siku hizi Vijana hadi wanasimamia Kucha wanasema plus kuboost na energy 😜🙌

Heri ya Mwaka Mpya kwako pia, nimefurahi tumevuka Mwaka 🙏🙏
 
Vijana hawataki kuonekana wanyonge, pesa wakose na nguvu nazo wakose hata za kuboost?
 
Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe

Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili

Vijana mnakwama wapi 🤗
Watakiwa walikuwa wapiga nyeto wazuri sana🤣🤣🤣🤣
Miezi tisa bila kudinga mweee mbupuz zitapasuka
 
Vijana hawataki kuonekana wanyonge, pesa wakose na nguvu nazo wakose hata za kuboost?
Hahaha........... wanataka kurudisha gharama za Chipsi Kuku wanazowanunulia 🙌

Sisi Mwaka 47 ilikuwa mnaweza kukutana Kwa Mwaka mara 7 tu Wala haikuwa na shida 🤗
 
Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo.

Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha.

Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki.

Pang Fung Mi
Ushauri wa Mzee Wasira huu
 
Watakiwa walikuwa wapiga nyeto wazuri sana🤣🤣🤣🤣
Miezi tisa bila kudinga mweee mbupuz zitapasuka
Hahaha...........watu walikuwa wanavumilia

Hivi umewahi kujiuliza Askari anayeenda vitani huwa anafanyaje kukidhi hizo haja?

Ni kwamba ukiwa focused unaweza kukaa hata miaka bila kuwaza kudinya
 
Wanapiga nyeto wewe wasikudanganye
 
Back
Top Bottom