Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wameamua kunichizisha 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameamua kunichizisha 😂
Nyie leeni wajukuu huku mkiota moto.Ndiyo maana Wazee hatupati bahati ya kupata dogo Dogo 😜
🤣🤣🤣Alafu humu ndani mnanionaga chizi kweli 😂
Ngoja nirudi kwenye default setting
🤣🤣🤣 tunawanunulia boxer na vest.Mnapelekaga wapi hela za vikoba?
Ili tukiwaacha mseme mlikuwa mnatuvalisha au sio 😂🤣🤣🤣 tunawanunulia boxer na vest.
Na bado🤣🤣Wameamua kunichizisha 😂
Ndioooo, masimango muhimu🤣🤣Ili tukiwaacha mseme mlikuwa mnatuvalisha au sio 😂
Unapotezaje kumbukumbu jamaniSishauri mimi napoteza kumbukumbu sababu ya kunyanduana Kila week
Mtununuliage magariNdioooo, masimango muhimu🤣🤣
Leo ndio nmejua kumbe wadau wanajua mim nati zimelegea😂Na bado🤣🤣
Kwa kweli Mkuu, nakumbuka last week ilibaki kidogo baridi liniuwe bahati nzuri Kwa jirani kulikuwa na moto ndiyo kukimbilia kule kujihifadhiNyie leeni wajukuu huku mkiota moto.
Hahaha.............kabisa, ndiyo maana Wazee licha ya kuzeeka bado tunaonekana tuna nguvu nguvuHapo kama ni mara saba kwa mwaka maana ake hapo Kila hili bao Ila masaa mawili na nusu
🤣🤣🤣 Tunakwenda taratibu jamani, angalau hata ungesema shati, gari umeenda mbali sana.Mtununuliage magari
Dipresheni ina dipresheni🤣🤣Leo ndio nmejua kumbe wadau wanajua mim nati zimelegea😂
Father mimi ni kijana wa miaka 35 naingia 36 🤣1989 lakini huwa nasali miwa na watu ambao kwa kweli ni rika moja Ila nashangaa shikamoo nyingi huwa nahudhunika naonekana mkubwa wakati ni kijana tuHahaha.............kabisa, ndiyo maana Wazee licha ya kuzeeka bado tunaonekana tuna nguvu nguvu
Umakini wewe muulize DR Mambo JamboUnapotezaje kumbukumbu jamani
Ukidinya ndio valves za oblongata zinafunguka wewe. Yaani mawazo yaflow tuu na kumbukumbu inaimarika.Umakini wewe muulize DR Mambo Jambo