Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo.

Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha.

Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki.

Pang Fung Mi
Yass je?
 
Kwa wenye ndoa hicho ni chakula cha bwana, tena meza takatifu. Kila wakati unapojisikia ila sio kulazimisha. Katika ndoa hilo ni hitaji namba moja.
 
Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe

Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili

Vijana mnakwama wapi [emoji847]
Ila mlikua mnaruhusiwa kua na wake zaidi ya wa5
 
Hahaha........sawa, tutakutumia

Ila nilidhani baada ya kukua ungepunguza uvivu kidogo kumbe upo vile vile kama zamani πŸ€—
Ndio umezidi yaaniπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Unajiona mzima hapo ulipo?πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Cc dipresheni
 
Back
Top Bottom