Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo.

Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha.

Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki.

Pang Fung Mi
mnawafatilia wazazi wenu wananyanduana mara ngapi kwa wiki ndo mnakuja kutuambia na sisi tufanye hivyo...mna dhambi sana watu wa 2005
 
Siku mbili Kwa wiki zinatosha

Kuna wenzio wapo kwenye Ndoa, lakini kupewa ni mara 1 Kwa Mwezi ama Kwa miezi 6
yani io ni ndoa bila tendo la ndoa,,huo ni ubatili mtupu aseeee,,sema wanajua wanakoponea bwan looooh miez 6 so mchezo
 
yani io ni ndoa bila tendo la ndoa,,huo ni ubatili mtupu aseeee,,sema wanajua wanakoponea bwan looooh miez 6 so mchezo
Siku ukiingia huko ndiyo utaona

Mwanamke akishaolewa hasa wa upande wetu huu wa Mke mmoja, lazima akupe masharti ya Mwezi mara 6 ama 5

Ndiyo kisa cha wengi huku kuwa na mpango wa kando

Unafanya mambo yako huko, ukirudi ndani unatulia ukisubiri ratiba ya Jumatano 🏃🏃🏃🏃
 
Hiyo ni kwa wanaume wa dar huku mikoani ni mwendo wa dozi tu na tupo fit muda wote ni shughuli shughuli
 
Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe

Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili

Vijana mnakwama wapi 🤗
Mzee wewe ushakuwa wa dotcom mkuu...na wewe ushabadilika kwendana na upepo, ndo maana pigo za kuletewa kiko sehemu za masihara 😄😄
 
Siku ukiingia huko ndiyo utaona

Mwanamke akishaolewa hasa wa upande wetu huu wa Mke mmoja, lazima akupe masharti ya Mwezi mara 6 ama 5

Ndiyo kisa cha wengi huku kuwa na mpango wa kando

Unafanya mambo yako huko, ukirudi ndani unatulia ukisubiri ratiba ya Jumatano 🏃🏃🏃🏃
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 kwanini jumatano lakini,,,wacha niingie nikajionee mwenyewe,,ila mimi sitamfanyia ivo mahi wangu
 
Hahaha...........watu walikuwa wanavumilia

Hivi umewahi kujiuliza Askari anayeenda vitani huwa anafanyaje kukidhi hizo haja?

Ni kwamba ukiwa focused unaweza kukaa hata miaka bila kuwaza kudinya
Wanabaka Kwan usikii case zao.
 
Hapo kama ni mara saba kwa mwaka maana ake hapo Kila hili bao Ila masaa mawili na nusu
Hahaha........... wanataka kurudisha gharama za Chipsi Kuku wanazowanunulia 🙌

Sisi Mwaka 47 ilikuwa mnaweza kukutana Kwa Mwaka mara 7 tu Wala haikuwa na shida 🤗
 
Back
Top Bottom