Hapana we ukiwa na dipresheni ya kikoba, rejesho na ile ya njaanuary ya suala hapa ni mtoto aje na ada unaweza?Aaah yanaonfoa dipresheni ujue!! Jaribu uone🤣
Hiyo bila shaka ilikuwa mwaka 47, heri ya mwaka mpya babu.Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe
Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili
Vijana mnakwama wapi 🤗
Hahaha........mambo ya Mwaka 47 hayoHiyo bila shaka ilikuwa mwaka 47, heri ya mwaka mpya babu.
🤣🤣🤣🤣🤣 acha kulinganisha vikoba na vitu vya kijinga.Hapana we ukiwa na dipresheni ya kikoba, rejesho na ile ya njaanuary ya suala hapa ni mtoto aje na ada unaweza?
We mzee wa hovyo kumbe upo!!Hahaha........mambo ya Mwaka 47 hayo
Siku hizi Vijana hadi wanasimamia Kucha wanasema plus kuboost na energy 😜🙌
Heri ya Mwaka Mpya kwako pia, nimefurahi tumevuka Mwaka 🙏🙏
😂 dipresheni hiyo kwahyo kikoba kinazidi umuhim wa upendo?🤣🤣🤣🤣🤣 acha kulinganisha vikoba na vitu vya kijinga.
Nipo Mjukuu, naona umenisusa Babu yakoWe mzee wa hovyo kumbe upo!!
Vijana hawataki kuonekana wanyonge, pesa wakose na nguvu nazo wakose hata za kuboost?Hahaha........mambo ya Mwaka 47 hayo
Siku hizi Vijana hadi wanasimamia Kucha wanasema plus kuboost na energy 😜🙌
Heri ya Mwaka Mpya kwako pia, nimefurahi tumevuka Mwaka 🙏🙏
Acha kabisa, utamu wa vicoba usikie tu 🤣🤣🤣😂 dipresheni hiyo kwahyo kikoba kinazidi umuhim wa upendo?
Watakiwa walikuwa wapiga nyeto wazuri sana🤣🤣🤣🤣Miaka ya zamani watu walikuwa wanashiriki ngono wakati wa kutafuta watoto tu, Siku hizi imefanywa starehe
Tena waifu akiwa Mjamzito hupigi hadi mtoto azaliwe, amalize kunyonya na still bado hatukuwa na hayo magonjwa yenu ya akili
Vijana mnakwama wapi 🤗
Mumkule tu, sikujiiiii.Nipo Mjukuu, naona umenisusa Babu yako
Ulifanya yule Jogoo aliokuandalia Bibi yako tumle wenyewe tu 🤗
Hahaha........... wanataka kurudisha gharama za Chipsi Kuku wanazowanunulia 🙌Vijana hawataki kuonekana wanyonge, pesa wakose na nguvu nazo wakose hata za kuboost?
Ushauri wa Mzee Wasira huuNawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo.
Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha.
Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki.
Pang Fung Mi
Uje Mwezi June utusaidie kuvuna MahindiMumkule tu, sikujiiiii.
Mkishavuna, mnitumie debe mbili.Uje Mwezi June utusaidie kuvuna Mahindi
Wazee wenu tumezeeka sana 🤗
Hahaha...........watu walikuwa wanavumiliaWatakiwa walikuwa wapiga nyeto wazuri sana🤣🤣🤣🤣
Miezi tisa bila kudinga mweee mbupuz zitapasuka
Wanapiga nyeto wewe wasikudanganyeHahaha...........watu walikuwa wanavumilia
Hivi umewahi kujiuliza Askari anayeenda vitani huwa anafanyaje kukidhi hizo haja?
Ni kwamba ukiwa focused unaweza kukaa hata miaka bila kuwaza kudinya