Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

Ndio umezidi yaaniπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Ukichukua Likizo Mwezi June, uje Babu yako nikufundishe kulima Kilimo cha kiangazi πŸ€—
 
mnawafatilia wazazi wenu wananyanduana mara ngapi kwa wiki ndo mnakuja kutuambia na sisi tufanye hivyo...mna dhambi sana watu wa 2005
 
🀣🀣Na izo sku zingne naponea wapiπŸ˜³πŸ™„
Siku mbili Kwa wiki zinatosha

Kuna wenzio wapo kwenye Ndoa, lakini kupewa ni mara 1 Kwa Mwezi ama Kwa miezi 6
 
Siku mbili Kwa wiki zinatosha

Kuna wenzio wapo kwenye Ndoa, lakini kupewa ni mara 1 Kwa Mwezi ama Kwa miezi 6
yani io ni ndoa bila tendo la ndoa,,huo ni ubatili mtupu aseeee,,sema wanajua wanakoponea bwan looooh miez 6 so mchezo
 
yani io ni ndoa bila tendo la ndoa,,huo ni ubatili mtupu aseeee,,sema wanajua wanakoponea bwan looooh miez 6 so mchezo
Siku ukiingia huko ndiyo utaona

Mwanamke akishaolewa hasa wa upande wetu huu wa Mke mmoja, lazima akupe masharti ya Mwezi mara 6 ama 5

Ndiyo kisa cha wengi huku kuwa na mpango wa kando

Unafanya mambo yako huko, ukirudi ndani unatulia ukisubiri ratiba ya Jumatano πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hiyo ni kwa wanaume wa dar huku mikoani ni mwendo wa dozi tu na tupo fit muda wote ni shughuli shughuli
 
Mzee wewe ushakuwa wa dotcom mkuu...na wewe ushabadilika kwendana na upepo, ndo maana pigo za kuletewa kiko sehemu za masihara πŸ˜„πŸ˜„
 
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kwanini jumatano lakini,,,wacha niingie nikajionee mwenyewe,,ila mimi sitamfanyia ivo mahi wangu
 
Hahaha...........watu walikuwa wanavumilia

Hivi umewahi kujiuliza Askari anayeenda vitani huwa anafanyaje kukidhi hizo haja?

Ni kwamba ukiwa focused unaweza kukaa hata miaka bila kuwaza kudinya
Wanabaka Kwan usikii case zao.
 
Hapo kama ni mara saba kwa mwaka maana ake hapo Kila hili bao Ila masaa mawili na nusu
Hahaha........... wanataka kurudisha gharama za Chipsi Kuku wanazowanunulia πŸ™Œ

Sisi Mwaka 47 ilikuwa mnaweza kukutana Kwa Mwaka mara 7 tu Wala haikuwa na shida πŸ€—
 
Mi mzima sana πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…